For JamiiForums Mobile users

For JamiiForums Mobile users

Kizuri kula na mwenzio baada ya kufahamu jinsi ya kuweka link kwenye uzi wowote nimeona si vibaya nikishare na wenzangu msiofahamu nanyi mpate ujuzi na ujanja
Nenda kwenye page husika au thread unayotaka kucopy link yake kupeleka sehemu nyingine
Click mwanzon mwa makala husika,yatatokea manenoView attachment 518265 click neno copy page url kisha nenda kwenye thread husika click mara moja yatatokea manenoView attachment 518271 chagua neno Paste
Unakua tayari ushaweka link kisha post kama comment au uzi
mfano nimegoogle Jamii forums nikapata page yake wikipedia

View attachment 518264
JamiiForums - Wikipedia

Ruksa kujaribu na kujifunza hapa au kuongezea ujuzi mwingine mwepesi zaidi wa kuweka link
Chakorii panakufaa hapa..
 
Naweza nikakopy link na kuipast sehemu nyingine kama wassap au Facebook?
 
Sijaelewa mkuu, sion sehem ya kukopi hyo Url
e6eeaee3ad52d1fa1e340404d7cef0fe.jpg

Natumia simu
 
Kizuri kula na mwenzio baada ya kufahamu jinsi ya kuweka link kwenye uzi wowote nimeona si vibaya nikishare na wenzangu msiofahamu nanyi mpate ujuzi na ujanja
Nenda kwenye page husika au thread unayotaka kucopy link yake kupeleka sehemu nyingine
Click mwanzon mwa makala husika,yatatokea manenoView attachment 518265 click neno copy page url kisha nenda kwenye thread husika click mara moja yatatokea manenoView attachment 518271 chagua neno Paste
Unakua tayari ushaweka link kisha post kama comment au uzi
mfano nimegoogle Jamii forums nikapata page yake wikipedia

View attachment 518264
JamiiForums - Wikipedia

Ruksa kujaribu na kujifunza hapa au kuongezea ujuzi mwingine mwepesi zaidi wa kuweka link
Hii itakuwa kwa computer,sio simu.
 
Hata mie natumia simu,fungua hii thread kisha bonyeza kama unataka kukopy tuone yatatokea maandishi yapi,screenshoot tuone

Back
Top Bottom