For JamiiForums Mobile users

For JamiiForums Mobile users

jombaa njia ngumu hiyo reply hii txt 4 alternative
 
Nawashangaa sana wasioweza hii kitu, au hii semina elekezi hadi iwe na posho ndo wataweza.
Salama lakini Bajabiri.

hapo kwenye rangi ndo pameharibu bongo zetu,kuanzia watawala hadi watawaliwa,,,,posho.......
Salama mdau za jumapili??????
 
Asante sana,vipi na ile ya kuandika link kwa kifupi? Nimeshaisahau,nikumbusheni naweza ipata wapi.
 
WEKENI NA HIZI :doh: :wink: :bathbaby: :embarrassed: :coffee: 😛opcorn: :mwaaah: :flypig: :ranger: :israel: :lol: :tongue: :wink2:

TOA TU HIZO SPACE KWENYE HERUFI ZA MWISHO BILA KUONDOA HERUFI AU HIZO DOT. Kama ilikuwa :m e: iwe :me:
 
Back
Top Bottom