For JamiiForums Mobile users

For JamiiForums Mobile users

kwa nini nikiandika kwa herufi kubwa inatokea kwa herufi ndogo ktk huo mstari?
 
je kwa watumiaji wa facebook mambo haya vipi yana aply?
 
NIMEANDIKA KWA HERUFI KUBWA HAPO JUU kuhusu Facebook, LAKN YAMETOKEA KWA HERUFI NDOGO. Why?
 
kwa nini nikiandika kwa herufi kubwa inatokea kwa herufi ndogo ktk huo mstari?

Weka Mwanzoni Code hizi
[size=15 ] na Mwisho weka [/size ]. Usiruke space kama mimi. yatatokea makubwa.

KAMA HIVI

kwa nini nikiandika kwa herufi kubwa inatokea kwa herufi ndogo ktk huo mstari?
 
Nimejaribu mara nyingi ili itokee kwa rangi na mstari kwa HERUFI KUBWA BILA MAFANIKIO.
 
Back
Top Bottom