Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
Hili somo lilishaletwa na RGforever ila tunashukuru kwa Elimu zaidi hasa watumiaji wa simu za viganjani wale wa Computer za key body wamerahisishiwa
Nenda MOBILE
Nenda MOBILE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[b*]HAPA[/b*][/color*]
[ba*]power tiller[/b*]
mbona sijaona aliyepigia mstari
bofya hapaHello Guys.Najua Mobile users wa JF wanamiss vitu ving sana vya uzuri wa JF. Mfano kuweka Rangi katika Maandishi ya Post yako au Thread.SASA KAMA UNATAKA KUWEKA rangi katika Post yako kuna Njia rahisi ya kutumia bila kutumia COMPUTER.TUANZE.HEBU TUWEKE RANGI NYEKUNDU1. Kama umeandika Maneno yako mfano Neno MOBILETutatumia code hizi mbili1.[COLOR=#ff0000 ]2.[/COLOR ] Usiweke Space yoyote ile mi nimeweka ili zionekane tu hizi CodeOKAYSasa Mwanzo mwa neno MOBILE yaani Nyuma ya herufi M weka code hiyo ya kwanza halafu mwisho mwa neno MOBILE yaani mbele ya herufi E weka code hiyo ya Pili. Its DONE.[COLOR=#ff0000 ]MOBILE[/COLOR ]Au hivi [COLOR=red ]MOBILE [/COLOR ]MOBILEKWA CODE ZINGINE HIZI HAPA#000000 black#FFFFFF white#FF0000 red #008000 green #0000FF blue #FFFF00 yellow #808080 gray #800080 purple #00FF00 lime #00FFFF aqua #FF00FF fuchsia #800000 maroon #000080 navy #808000 olive #C0C0C0 silver #008080 teal#EE82EE violetNOTE: unaweza kuweka Code number au Jina la Rangi kama hapo juu yalivyoorodheshwaHalafu Unamalizia kwa code ya pili. THANKS GUYSUPDATEKUPIGIA MANENO MSTARI [U ] MSTARI [/U ]Toa au rudisha hizo space and u're done MSTARIKUWEKA SMILEYToa au rudisha hizo space and u're done1 :do h: :doh:2 :win k: :wink:3 :bathbab y: :bathbaby:4 :embarrasse d: :embarrassed:5 :coffe e: :coffee:6 😛opcor n: 😛opcorn:7 :mwaaa h: :mwaaah:8 :flypi g: :flypig:9 :range r: :ranger:10 :israe l: :israel:11 :lo l: :lol:12 :tongu e: :tongue:13 :wink 2: :wink2:14 😛ee p: 😛eep:15 :gossi p: :gossip:16 :smas h: :smash:17 :evi l: :evil:18 😛o a: 😛oa19 :focu s: :focus:20 :y o: :yo:MORE TO COME.HERUFI KUBWAKama Unataka Kuweka Herufi Kubwa. Basi Fanya hivi...andika maneno yako Mfano JF MOBILE. Sasa mwanzoni weka code hii [size=15 ] na Mwishoni weka Code hii [/size ]Usiruke space kama mimi.. And its DONE. Hiyo 15 unaweza kuibadili kulingana na size unayotaka.JF MOBILE oooh NiiiceKUWEKA NENO CLICK HERE au KUWEKA LINKNi Ngumu kidogo.but lets try[ url=www.jamiiforums.com] CLICK HERE [/url]Hapo nilipoandika jamiiforums unaweza kuweka web address yoyote ile. Ila kumbuka kutoruka space.