For JamiiForums Mobile users

For JamiiForums Mobile users

Openimage.jpg


photo updated status
 
PIA Njia Hii Iko Poa KULIKO HIYO YA KUKARIRI COLOR CODES
[color=Jina la Rangi utakayo]SENTENCE UNAYOTAKA IWE NA RANGI[/color]
Mfano [color = blue]JAMIIFORUMS[/color] WEWE USILUKE NAFASI HAPO KWENYE = MIMI NIMELUKA ILI UONE KAMA NISINGE LUKA NAFASI INGE ONEKANA HIVI JAMIIFORUMS
Pia UNAWEZA KU BOLD MANENO KWA KUYA WEKA KATIKATI YA [ b ]maneno unayo taka yawe bolded[/b] kumbuka kuto weka nafasi katika hizo helufi b ndani ya mabano
Mfano: JAMIIFORUMS
PIA KAMA KUNA MTU ANAHITAJI KUJUA KUWEKA PICHA KATIKA THREAD ANAWEZA ULIZA. PICHA KAMA HII
211187_135522666523853_7224822_n.jpg
mimi niliweka kwa herufi kubwa na ndoo maana nili chemka
 
Back
Top Bottom