For JamiiForums Mobile users

For JamiiForums Mobile users

Wakuu naomba munisaidie
Mm co mtaalamu kiukweli
Msada plz
Mm natumia Htc nimefungu Google acont lkn nimechokorowa
Pasward zake bila ya kujua pasward zimebadilika wakuu sasa nifanyeje
Ili pasward zangu zirudi zile zile
Za mwanzo kwenye google ?
 
1003251_350912635036454_1187536774_s.jpg
 
Ahsante kwa shule yako RGforever,je nikitaka kuweka rangi katika post ya mtu yoyote wakati namnukuu inakuaje?
 
Last edited by a moderator:
Hello Guys.
Najua Mobile users wa JF wanamiss vitu ving sana vya uzuri wa JF. Mfano kuweka Rangi katika Maandishi ya Post yako au Thread.

SASA KAMA UNATAKA KUWEKA rangi katika Post yako kuna Njia rahisi ya kutumia bila kutumia COMPUTER.

TUANZE.
HEBU TUWEKE RANGI NYEKUNDU
1. Kama umeandika Maneno yako mfano Neno MOBILE

Tutatumia code hizi mbili
1.[COLOR=[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=FF0000]#FF0000[/URL] ]

2.[/COLOR ]
U
siwek najaribu2 #FF0000redmaisha[/COLOR]
 
Hello!
JF
MEMBERS


Natamani serikali yetu ingekuwa inawaona masikini na kuleta maisha bora halisi kwa kila mtanzania,
1170802_579744575395005_544915392_s.jpg


Huwa napata shida sana ninapoangalia bunge letu, utashangazwa na michango ya wabunge wa chama tawala ambayo inaonyesha serikali imetatua matatizo ya wananchi kwa kiasi kikubwa, hebu tujiulize hivi kazi ya bunge ni kuitetea serikali au kuisimamia?
donimuya
 
Last edited by a moderator:
Tumia laolptop au computer ku rest acount yako lakini kabla ya yote syc data 2ingia www.google.com 3 log in ikikataa fuata maelekezo ya forgot password. Afu jaribu kingiza taarifa ulizo tumia kujisajili.utafanikiwa0713309529
 
Reset your phone settings if you know pin number of your handset. For help consult handset manual

Regards
 
Back
Top Bottom