For JamiiForums Mobile users

For JamiiForums Mobile users

haa!kumbe nimekosa mambo mazuri huku? Afu tunalalamika nchi haina wanasayansi!! Haha! Ngoja nIjaribu
 
Weraaa! Nimeweza! Watankoma!! Ngoja nirudi kwenye viatachment
 
PIA Njia Hii Iko Poa KULIKO HIYO YA KUKARIRI COLOR CODES
[color=Jina la Rangi utakayo]SENTENCE UNAYOTAKA IWE NA RANGI[/color]
Mfano [color = blue]JAMIIFORUMS[/color] WEWE USILUKE NAFASI HAPO KWENYE = MIMI NIMELUKA ILI UONE KAMA NISINGE LUKA NAFASI INGE ONEKANA HIVI JAMIIFORUMS
Pia UNAWEZA KU BOLD MANENO KWA KUYA WEKA KATIKATI YA [ b ]maneno unayo taka yawe bolded[/b] kumbuka kuto weka nafasi katika hizo helufi b ndani ya mabano
Mfano: JAMIIFORUMS
PIA KAMA KUNA MTU ANAHITAJI KUJUA KUWEKA PICHA KATIKA THREAD ANAWEZA ULIZA. PICHA KAMA HII
hprofile-ak-sn   [Jamiiforumsb]
 
Back
Top Bottom