FOR LADIES' EYES ONLY: Wakati mwafaka wa kuomba msamaha...........

Hii ni blackmailing ,na mwanaume akisema hivyo , ujue hamaanishi toka moyoni ,
nikishatulia zangu , ujue hiyo discussion itaanza upya au hiyo ahadi utekelezaji wake utakua wa shingo upande
 
Hii ni blackmailing ,na mwanaume akisema hivyo , ujue hamaanishi toka moyoni ,
nikishatulia zangu , ujue hiyo discussion itaanza upya au hiyo ahadi utekelezaji wake utakua wa shingo upande


siyo blackmail...........it is tough love..........................akishakuweka hiyo kabali nature yakulazimu usahau tu............usipofanya hivyo hutaaminika na yoyote yule.......inakuwa ni laana maana shahidi wenu wa huo mwafaka ni Mwenyezi Mungu..........
 
Kasinge waitu(wakola mno) bwana Ruta.

Aisha Adam yabidi utupe majaribio yako siku mingine..........lol nasi tunufaike.................chonka waitu wakola muno.......
 
Ruta...nashangaa kama umejua leo

Madamex............kumbe hizi kabali mnatutia kimyakimya............lol.........................inabidi tuziweke hadharani tutafute namna ya kujihami...........mwenzangu...........
 
You got me bro!

Binti wakati anachezea kifua ndo wakati hasa wa kutoa maombi yake huku akikupa maneno matamu!

Hizo ni mbinu za medani.

Thanks...............love is a game let us enjoy it as it lasts................
 
Kha! Majaribio ya nini tena Ta Ruta?

wahenga walinena.............si kheri kuandikia mate na hali wino ungalipo tu..............kamata peni khalafu chovya kwenye wino, charaza mwandiko wako bila ya khofu yoyote ile.....................khalafu njoo utupashe hapa jamvini matokeo yake..........
 

Kama ni mwanamme anayekupenda , hakuna haja ya kutafuta njia za kichochoroni ,
ila kama ni buzi , its ok ,tumia njia yeyote ili mradi upate unachokitaka
 
Kwelii kabsa mkuu
 

we Ruta, mbona unaandikla kama AK? au Rutashubanyuma =Akili Kichwani?

halafu sio kweli kuiwa mwanaume ni dhaifu anapokaribia ejaculation, na kwa wasichana na wanawake, nawaonya mapema, mkifuata ushauri wa Ruta basi mtaonekana mnatumia tendo lenu hilo kama silaha. utakuwa ni utapeli.

hata kama hiyo nadharia ingekuwa sawa, bado ina mapungufu manake inaeleza wakati mzuri wa mwananmke kuomba msamaha lakini haielezi wakati mzuri wa mwaume kuomba msamaha. hata kama umetahadharisha mada isomwe na ladies tu, bado hata hao ladies wanapenda kujua wakati mzuri wa kuombwa msamaha na wanaume.

msamaha wa kweli si ule utokanao na hadaa au "timing" fulani hivi. ni vyema kama mnakosana na wenzenu muwaombe msamaha mkiwa katika hali ya kawaida na msihusuishe kabisa tendo lile na ombi la msamaha. msamaha wa kweli ni ule utokao moyoni na sio utokanao na udhaifu wa mwanaume

mbarikiwe sana wapendwa

Glory to God!
 
unatuingiza chaka,wakati wa kuomba msamaha ni pale unapomuona mzee katulia ana amani ya moyo hana stress,mmeshamaliza tendo la ndoa ama ameshakula chakula ulichomtengea,ndio unaanzisha mazungumzo taratiiibu kwa sauti ya upole....naye atakusikiliza,tendo la ndoa ni tendo la ndoa halipaswi attention yake kuwa directed somewhere..........so sio sahihi karibu ana ejaculate umwambie chochote unamkatisha uhondo na result inaweza kuwa mbaya
 
...mkuu Ruta mbona huo ushauri wako unaharufu ya rushwa ya ngono?...yaani ni kama kumwomba mlevi msamaa,pombe zikisha mtoka kesi iko pale pale...kwa mwanamke makini na anayejiamin hawezi kuutumia mwili wake kupata kitu,atajenga hoja kufikisha ujumbe wake...
 
Yani umeleta ujumbe huu mda muafaka,lakini huyu mpuuzi anazugaa wachanimchezeshe sebene kwanza....
 
Kama ni mwanamme anayekupenda , hakuna haja ya kutafuta njia za kichochoroni ,
ila kama ni buzi , its ok ,tumia njia yeyote ili mradi upate unachokitaka

kupenda hakumaanishi utamfanyia utakavyo...................inabidi ufanye afanyavyo mvuvi..........tumbukiza chambo kumridhisha samaki naye ataingia kingi..................
 
Kwelii kabsa mkuu

siyo baada ya kufunga goli ila kabla ya kupachika bao wavuni ndipo shughuli hii ya kurekebisha mambo yapaswa kufanyika........lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…