FOR LADIES' EYES ONLY: Wakati mwafaka wa kuomba msamaha...........

FOR LADIES' EYES ONLY: Wakati mwafaka wa kuomba msamaha...........

Sijui sijaelewa! Hivi kama ana hasira anaweza ku duu? Ile kitu inaweza kuerect?

baada ya hasira huwa ni vinyongo....................na muarobaini wake sasa uko mkononi kwako....tumia au upoteze.................kazi kwako........
 
we Ruta, mbona unaandikla kama AK? au Rutashubanyuma =Akili Kichwani?

halafu sio kweli kuiwa mwanaume ni dhaifu anapokaribia ejaculation, na kwa wasichana na wanawake, nawaonya mapema, mkifuata ushauri wa Ruta basi mtaonekana mnatumia tendo lenu hilo kama silaha. utakuwa ni utapeli.

hata kama hiyo nadharia ingekuwa sawa, bado ina mapungufu manake inaeleza wakati mzuri wa mwananmke kuomba msamaha lakini haielezi wakati mzuri wa mwaume kuomba msamaha. hata kama umetahadharisha mada isomwe na ladies tu, bado hata hao ladies wanapenda kujua wakati mzuri wa kuombwa msamaha na wanaume.

msamaha wa kweli si ule utokanao na hadaa au "timing" fulani hivi. ni vyema kama mnakosana na wenzenu muwaombe msamaha mkiwa katika hali ya kawaida na msihusuishe kabisa tendo lile na ombi la msamaha. msamaha wa kweli ni ule utokao moyoni na sio utokanao na udhaifu wa mwanaume

mbarikiwe sana wapendwa

Glory to God!

mawazo mazuri lakini mwanadamu anakwenda na "mood"..................msichana ukipmaata kwenye mood yake mengi anaweza kukufanyia na ukimkuta kwenye "mood" tofauti mengi atagoma kukufanyia............siyo kuwa hakuhitaji..............but you have knocked the door at the wrong time......................

kwa hiyo huu siyo utapeli ila ni ujuzi wa kumfahamu mwenzio alivyoumbwa...................ni wakati gani anakuwa na huruma..........................na mapenzi kibao kwako....................kwa mwanaumme hapo ndipo hana ujanja....take it from me and you can bank this on any Bank and get your rewards...........
 
Haya.....subirieni huo wakati sasa ndo muombe msamaha!!

halafu wasiishie hapo.......................waje hapa jamvini wafunguke kwa kutuelezea jinsi walivyopachika mabao ya msamaha....................................lol
 
unatuingiza chaka,wakati wa kuomba msamaha ni pale unapomuona mzee katulia ana amani ya moyo hana stress,mmeshamaliza tendo la ndoa ama ameshakula chakula ulichomtengea,ndio unaanzisha mazungumzo taratiiibu kwa sauti ya upole....naye atakusikiliza,tendo la ndoa ni tendo la ndoa halipaswi attention yake kuwa directed somewhere..........so sio sahihi karibu ana ejaculate umwambie chochote unamkatisha uhondo na result inaweza kuwa mbaya

kumbuka ya kuwa mwanaumme hakuhitaji wewe uwe unalifurahia tendo la ndoa yeye kuburudika.............burudani yake iko palepale hata kama utamwomba msamaha................kwa sababu mwanaumme kukojoa atakojoa tu na lazima aseme amekusamehe ili aweze kufika kileleni..............hiyo bughudha ni muhimu kwake kuiondoa akilini ili aendelee na majambozi............swala la baada ya shughuli huu ndiyo wakati ambao wala hakuhitaji tena............kwa hiyo ukimjia na hizo soga za misamaha .......it is a wrong time..................anakuwa amechoka na anachohitaji ni kupumzika siyo maridhaa kama unavyofikiri..........................akila chakula anachohitaji ni mapumziko siyo kupokea maombi ya misamaha.....................hutafanikiwa............just try ninachokuambia khalafu utathibisha ya kuwa huo kweli ndiyo wakati mwafaka wa kumlainisha roho.................yake.....................a man is most receptive to most of your ideas just before he ejaculates.........................it is a proven scientific fact.....................but do not abuse it................use it to build your house not asunder it......................
 
...mkuu Ruta mbona huo ushauri wako unaharufu ya rushwa ya ngono?...yaani ni kama kumwomba mlevi msamaa,pombe zikisha mtoka kesi iko pale pale...kwa mwanamke makini na anayejiamin hawezi kuutumia mwili wake kupata kitu,atajenga hoja kufikisha ujumbe wake...

naona unachanganya mambo.......................swala hapa ni wakati gani mwafaka wa kumaliza mizozano...............mwili wake tayari alikwisha usalimisha kwa mpenzi wake sasa utasemaje ya kuwa anautumia vibaya.........??????? Anachotakiwa ni kunufaika na khali iliyojitokeza.........................just getting the best out of life, that is all.......
 
Yani umeleta ujumbe huu mda muafaka,lakini huyu mpuuzi anazugaa wachanimchezeshe sebene kwanza....

ubarikiwe.....................tumia ufahamu wako usiishie kichwani tu
 
naona unachanganya mambo.......................swala hapa ni wakati gani mwafaka wa kumaliza mizozano...............mwili wake tayari alikwisha usalimisha kwa mpenzi wake sasa utasemaje ya kuwa anautumia vibaya.........??????? Anachotakiwa ni kunufaika na khali iliyojitokeza.........................just getting the best out of life, that is all.......
...sawa mwili wake alikwisha usalimisha lakini eilewake kwamba hisia na utashi wake kama binadam hakuvisalimisha na hata kama angependa kufanya hivyo hasingeweza ndo maana unapotaka "mzigo" lazima kwanza nae alidhie...hilo unalo sema Ruta kuhusu la kupata msamaha,linawezekana kama koso lenyewe linahusiana na mambo madogo madogo lakini sio mambo makubwa yanayo hitaji ufafanuzi wakina...mfano mkeo amesababisha hasara kubwa ktk biasha uliyompa aisimamie,hapa lazima mkae chini mwangalie vitabu vya mahesabu kubaini nini kimesababisha hasara sio eti kwakuwa unataka "mzigo" akuambie nisamehe tu mmewangu ukubali...tafakali!
 
hiyo niliyokupa hujulikana kama "point of no return".....akikufikisha hapo chochote atakachokuambia utajionea ni sawa tu.............hapo hakuna kosa dogo au kubwa yote utayaona yana uzito sawa kwa sababu kiu yako wakati huo ni kufika kileleni tu hakuna udhia wowote ule ambao utauruhusu ukucheleweshe kufikia pale ulipokuwa unapahitaji.............lol
 
Back
Top Bottom