For my few fellow men: Kujua kuendesha gari/pikipiki ni muhimu

Haya

Wamiliki wa magari shaurianeni....

Wengine mlo mmoja tu kuupata kwa manati leo ajifunze gari ambalo hana hata ndoto za kumiliki

Ushauri mzuri lakini
 

Naunga mkono hoja yako.
 
Makes sense.

After all it won't hurt kuongeza ujuzi.

You never know when it will come handy.

Mfano kitaa kama kuna jirani anaumwa na mwenye gari amesafiri, kutaendajeee?
 
tukijua kugegeda inatosha magari pikipiki jifunzeni nyie
 
Alichokisema huyo bwana ni cha umuhimu sana ingawa ni kwa wakati wake..na sio kila wakati....
Kumbu kumbu zangu zimenirudisha nyuma kidogo....kwa kujua kuendesha
Gari ingawa sina gari kulinifanya niokoe maisha ya mama mjamzito...maeneo fulani.....
 
Wengine wanajua kuendesha gari, wengine baiskeli, wengine mikokoteni ndo maisha. Sasa mtu kipato chake kwa siku ni 1000 unataka aimalize kwa mafuta?
Hivi huwa mnawaza nini? Gari ukijua kuendesha inaweza kuwa ajira pia. Unajua maisha ya madereva wa UN,EMBASSIES,DFP?STK etc
 
Kweli aisee.
Unaweza kuishi na mtu ana gari,amezidiwa usiku .
Nani atamrush hospital?

Ahsante mtoa mada.wiki ijayo nitaanza kujifunza.

What happened wiki iliyopita imenifunza mengi.

Sio lazima uwe nalo ndo ujifunze.
 

Ni kweli kwa kuongezea, maisha hayako static!
mtu anastaafu anapata kiinua mgongo chake, ananunua kagari kake ndio anaanza A. aisee!! 60+ gari ina label nyekundu L duh..
 
Kweli aisee.
Unaweza kuishi na mtu ana gari,amezidiwa usiku .
Nani atamrush hospital?

Ahsante mtoa mada.wiki ijayo nitaanza kujifunza.

What happened wiki iliyopita imenifunza mengi.

Sio lazima uwe nalo ndo ujifunze.

What happened mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…