For my few fellow men: Kujua kuendesha gari/pikipiki ni muhimu

For my few fellow men: Kujua kuendesha gari/pikipiki ni muhimu

Jamaa ameongea fact. For example umepata ttzo la ghafla usiku wa manane, like mkeo au mtto wako anaumwa inabidi umkimbize hospital, kwa bahati nzuri jiran yko anamiliki gari, unaenda kumgongea mrango unafunguliwa zen unaeleza shida yako, kwa bahati mbaya jiran yko kumbe amesafiri na ameacha ufunguo wa gari wa wanae, zen unapewa ufunguo udrive kroho safi unaaanza ktoa macho too.
LESSON, Sio lazma kjua kila jambo but kna umuhim mkubwa wa kujua kitu ambacho very common ktokea ktk mazingira ya kbinadam haswa maisha ya asaivi, magari na pik pik mostly wanamilik.[emoji617]
 
True True mkuu
 
Men of this forum.

Ulimwengu huu unakuwa kwa kasi sana and most things now come easily, kuna mambo mengine ni magumu lakini mengine ni marahisi sana na ni budi kwa kila mwanaume kuyajua na kuweza kuyafanya.

Moja wapo ni hili la ujuzi wa kuweza kuendesha gari au pikipiki, hata kama huna, ni vizuri kujifunza na ukakaa na ujuzi wako, coz huwezi kupoteza kitu.

Nimeshangaa sana kuona a man mwenye zaidi ya miaka 35, hawezi kuendesha gari wala pikipiki na amekaa mjini miaka kibao. Hata kama huna, its better to find a way and learn. Sio unafikisha miaka 40 unapata ka gari kako unakapiga lebo ya Learner, au ndiyo unakuwa unababaika barabarani kisa ndiyo unajifunza.

Nashauri tu, kuwa na huu ujuzi wa driving ni kitu chema.

Ladies, advice your men to search for this knowledge.

Nawasilisha.
Nimegundua pia,
Mtu ukijifunza kuendesha gari ukiwa na Miaka kuanzia 45+, hutakaa uweze kulimudu gari
 
Back
Top Bottom