For my few fellow men: Kujua kuendesha gari/pikipiki ni muhimu

Use and disuse. Kwa ulimwengu wenye vitu vingi lazima uwe selective huwezi jifunza kila kitu bhana
 
kuna jamaa alipata kazi ya marketing ilimshindaa coz aliambiwa anatakiwa awe anajua gari, kapewa muda awe ameshajua!' mwisho wa siku akakimbia kazi ...........
Huyo nae alizidi...alishindwa nini kwenda kujifunza?? Watu wameshiba aisee
 
Kwanini isiwe meli au ndege?
Kama kwako unaona ni vitu vikubwa, vipi kwa wale ambao wanakula mlo mmoja, analionaje gari au pikipiki?
 
thumbup proffesor na hii ndo tunaita mgawanyo wa majukumu
Et mgawanyo wa majukumu hv uko Dunia gani? Siku hz wanahitajika mult purpose worker's ili ku cut cost we unakuja na mambo ya kizamani
 
Jamaa umetoa ushauri mzuri kweli ila baadhi ya watu Mapovu yamewatoka [emoji36] [emoji36]

Waache...waliokuelewa Wamekuelewa
 

Fikiri upya juu ya hii mada.
Hili siyo suala la priority au subjective
ni lazima(kama kujua kusoma na kuandika)
*Je,dereva akifa au kupata tatizo la kiafya porini na wote/wewe haujui kudrive?
*Je,mkiwa ktk hatari and the way to escape ni kutumia usafiri na upo?
( Waulize nchi zilizowahi kupitia machafuko)
*Mmepata mgonjwa usiku wa manane,let say huyo huyo ndiyo dereva,na usafiri upo,utamsaidiaje?
Ktk familia yetu,sote tunajua kudrive,
Na hata my wife to b,nimemfundisha kudrive gari na pikipiki..

Endelea na siasa zako,ipo siku
utaelewa vizuri.
 
Binafsi kuendesha pikipiki sijui na sijui kwa nini moyo wangu hautaki, kuna piki Piagio nilinunuwa zamani ni auto na mafuta yakikuishia unanyonga pedal kama baiskeli hiyo ndio nilikuwa naendesha. kudrive gari nimeanza 1990.
Shikamoo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…