For only sua students

For only sua students

nyambari

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
355
Reaction score
171
Wasuaso wenzangu nawatakieni maandalizi mema ya mitihani ya kumaliza semester inayoanza jumatatu tar 20 feb ni matumaini yetu wote kwamba mungu atatenda kadri ya uwezo wake najua ni kipindi kigumu lakini yote katika yote ni mmoja tu awezaye kutupa ushindi. All the best
 
'Mungu atatenda kadri ya uwezo wake'

SMH
 
Tuache kumjazia kazi Mungu,komaa soma vya kutosha Mungu unamshkuru kwenye matokeo,hata pepa bado ushamtupia Mungu zigo!!

Mungu afikirie natural disasters,vita,akupe akili na mtihani akufaulishe wakati husomi? Mungu tunamtwisha lawama zingine zisizofaa. Ndo maana tunakuwa maskini kwa kumwachia atufanyie hata yale aliyodelegate kwetu under his supervision. Soma shule, Mungu atakuamsha salama,utaingia kwenye chumba cha mtihani na atakufanya uwe na kumbukumbu ya kutosha. Siyo unakunywa serengeti, husomi au hushughuliki aafu unategemea kufanikiwa! Kuachane na mambo ya namwachia Mungu kila kitu.
 
Ole wenu mkae kwa kujipanga na kuanza kuangaliziana majibu...

Naskia siku hizi hata SUA mnaingia kwenye paper huku mmeandika majibu mwili mzima kama jamaa wa MZUMBE. Kama ni kweli basi kilimo kwanza haitaleta mafanikio kamwe. U are scientists guys.
 
Wanawaitaga MICHAEL SCOFIELD.
 
Ole wenu mkae kwa kujipanga na kuanza kuangaliziana majibu...

Naskia siku hizi hata SUA mnaingia kwenye paper huku mmeandika majibu mwili mzima kama jamaa wa MZUMBE. Kama ni kweli basi kilimo kwanza haitaleta mafanikio kamwe. U are scientists guys.

Acha dharau wewe!wasomi wa "KAMPALA INT UNIV" utawajua tu kwa matapishi yao.
 
Ole wenu mkae kwa kujipanga na kuanza kuangaliziana majibu...

Naskia siku hizi hata SUA mnaingia kwenye paper huku mmeandika majibu mwili mzima kama jamaa wa MZUMBE. Kama ni kweli basi kilimo kwanza haitaleta mafanikio kamwe. U are scientists guys.
duuuu!!!!!!
 
Kesheni mkiomba mtafaulu!

acha kuwadanganya,Mungu humwongezea mwenye nacho. Kesheni mkisoma na kumuomba Mungu awape kumbukumbu,awaamshe salama na kuwapa uwezo wa kufanya mtihani.
 
Wewe unataka kufaulu mitihani au unataka umalize chuo ukiwa unajua ulichojifunza? Anyaway muamke salama kesho kufanya mitihani.
 
kaka asanteeeeeeeee yuwii balaa tupu
A%20S%20465.gif
 
Back
Top Bottom