Pilot_In_Command
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,507
- 3,442
- Thread starter
-
- #301
Mkuu yale ni marudio, angetokea mtu anafanya live streaming iwe YouTube angepiga sana pesa.Bongo hakuna anafanya live broadcasting ya rally.kila k2 hurushwa Azam recing show
Wachana na gtr...mashine nyingine hii. Supra akasome aseeWell.... 2jzGte or VR38Dett.. ?
SUPRA.. or Godzilla!?
Ah wapi inategemea na 2jz imefanyiwa nin.. unless Gtr anaweza kukaa vzr tuWachana na gtr...mashine nyingine hii. Supra akasome asee
Bongo viewers wa hizo mambo ni wachache sana mzee,cheki hata channels za youtube zilizojaribu kufanya motorshows zina hali gani?Zilishajifia kitamboMkuu yale ni marudio, angetokea mtu anafanya live streaming iwe YouTube angepiga sana pesa.Bongo hakuna anafanya live broadcasting ya rally.
Bongo huumchezo unafanyika kwa Mapenzi binafsi ya wachache na c kibiashara kama ilivo kwa wenzetu ivo nikazi kupata mtu atakae kua tayari kurusha live tukomae tu nahao wanao toa ata marudio kwani wadau niwachache mno na hata competition yake ni ndogo Sana ukilinganisha na nchi jirani kama Kenya na ugandaBongo viewers wa hizo mambo ni wachache sana mzee,cheki hata channels za youtube zilizojaribu kufanya motorshows zina hali gani?Zilishajifia kitambo
Bongo huumchezo unafanyika kwa Mapenzi binafsi ya wachache na c kibiashara kama ilivo kwa wenzetu ivo nikazi kupata mtu atakae kua tayari kurusha live tukomae tu nahao wanao toa ata marudio kwani wadau niwachache mno na hata competition yake ni ndogo Sana ukilinganisha na nchi jirani kama Kenya na ugandaBongo viewers wa hizo mambo ni wachache sana mzee,cheki hata channels za youtube zilizojaribu kufanya motorshows zina hali gani?Zilishajifia kitambo
Gtr ni computer on wheelsWachana na gtr...mashine nyingine hii. Supra akasome asee
Mbona wahindi wote[emoji849]Matokeo ya Arusha Rally.
1.Kareen Patel akiwa na Mitsubishi evo 10
2.Gurjit Dhani akiwa na Subaru Gvb
3.Dharam Pandya akiwa na Subaru Gvb
4. Mzee Gurpal akiwa na Mitsubishi evo 10
5. Tufail Tufail akiwa na Subaru Gc8
Sisi wabongo rally tunafanya kwenye Crown, Harrier tako la nyani na Subaru kwenye main road kama Morogoro road, Mandela road na Bagamoyo road.Mbona wahindi wote[emoji849]
Supra iko tuned kutoa hp ngapi?Na modes za hio GT-R zikoje mkuu.Well.... 2jzGte or VR38Dett.. ?
SUPRA.. or Godzilla!?
Michezo ya mbio za magari ni gharama Sana kuanzia kununua gari kulitunza na kushiriki itakugharimu kununua tairi zote mpya na nyingine za ziada.Mbona wahindi wote[emoji849]
Mkuu unataka kucheza rally au unataka rally car Kwa ajili ya street racing na kuendesha Kwa burudani.Msaada watalam kwa mwaka mzima Sasa nimekua nikitafata rally car itakayo cost 20M paka kufika mkononi na Manisha mausajili niwe nimeya malizapia ila imeshindikana nakila nikijaribu kutanua mfuko majukumu mengine yananikaba
Ningekua njema kwa sasa ningenunua aristo (2jz-gte) nikaitune mpk ikatoa HP 400 tu naona itanitosha sana kwa matumizi yangu binafsi.Michezo ya mbio za magari ni gharama Sana kuanzia kununua gari kulitunza na kushiriki itakugharimu kununua tairi zote mpya na nyingine za ziada.
Hapa Tanzania huu mchezo hauna zawadi za pesa ni tuzo Tu. Wengi wanacheza Kwa kupenda na wengine wanazo gari Ila wanaogopa gharama sababu hawana wadhamini.
Hao wahindi wengi wana udhamini, na wengi wanatoka familia zilizo vizuri kiuchumi. Wengi wana makampuni ya ujenzi,vinywaji, hotel na usafirishaji hivyo upande mwingine wanajitangaza.
Aristo yenye Automatic Gearbox rahisi kupatikana.Ningekua njema ningenunua aristo 2jz-gte nikaitune mpk ikatoa HP 400 tu naona itanitosha sana kwa matumizi yangu binafsi.
Ningewapelekea jamaa wanifanyie some few modes then imeisha hio.Aristo yenye Automatic Gearbox rahisi kupatikana.
Kwa bongo sijui, labda mpaka +254 kule garage wanazo.Ningewapelekea jamaa wanifanyie some few modes then imeisha hio.
Hivi hapa bongo ni wapi kwny dyno mkuu?
Sawa mkuu,shukrani.Kwa bongo sijui, labda mpaka +254 kule garage wanazo.