For petrol heads wote

For petrol heads wote

Well.... 2jzGte or VR38Dett.. ?

SUPRA.. or Godzilla!?
 
Attachments

  • IMG-20200611-WA0028.jpg
    IMG-20200611-WA0028.jpg
    62.3 KB · Views: 3
Mkuu yale ni marudio, angetokea mtu anafanya live streaming iwe YouTube angepiga sana pesa.Bongo hakuna anafanya live broadcasting ya rally.
Bongo viewers wa hizo mambo ni wachache sana mzee,cheki hata channels za youtube zilizojaribu kufanya motorshows zina hali gani?Zilishajifia kitambo
 
Bongo huumchezo unafanyika kwa Mapenzi binafsi ya wachache na c kibiashara kama ilivo kwa wenzetu ivo nikazi kupata mtu atakae kua tayari kurusha live tukomae tu nahao wanao toa ata marudio kwani wadau niwachache mno na hata competition yake ni ndogo Sana ukilinganisha na nchi jirani kama Kenya na uganda
 
Msaada watalam kwa mwaka mzima Sasa nimekua nikitafata rally car itakayo cost 20M paka kufika mkononi na Manisha mausajili niwe nimeya malizapia ila imeshindikana nakila nikijaribu kutanua mfuko majukumu mengine yananikaba
 
Mbona wahindi wote[emoji849]
Michezo ya mbio za magari ni gharama Sana kuanzia kununua gari kulitunza na kushiriki itakugharimu kununua tairi zote mpya na nyingine za ziada.

Hapa Tanzania huu mchezo hauna zawadi za pesa ni tuzo Tu. Wengi wanacheza Kwa kupenda na wengine wanazo gari Ila wanaogopa gharama sababu hawana wadhamini.

Hao wahindi wengi wana udhamini, na wengi wanatoka familia zilizo vizuri kiuchumi. Wengi wana makampuni ya ujenzi,vinywaji, hotel na usafirishaji hivyo upande mwingine wanajitangaza.
 
Msaada watalam kwa mwaka mzima Sasa nimekua nikitafata rally car itakayo cost 20M paka kufika mkononi na Manisha mausajili niwe nimeya malizapia ila imeshindikana nakila nikijaribu kutanua mfuko majukumu mengine yananikaba
Mkuu unataka kucheza rally au unataka rally car Kwa ajili ya street racing na kuendesha Kwa burudani.

Na ulikuwa unataka gari ipi na yenye vigezo vipi?
 
Michezo ya mbio za magari ni gharama Sana kuanzia kununua gari kulitunza na kushiriki itakugharimu kununua tairi zote mpya na nyingine za ziada.

Hapa Tanzania huu mchezo hauna zawadi za pesa ni tuzo Tu. Wengi wanacheza Kwa kupenda na wengine wanazo gari Ila wanaogopa gharama sababu hawana wadhamini.

Hao wahindi wengi wana udhamini, na wengi wanatoka familia zilizo vizuri kiuchumi. Wengi wana makampuni ya ujenzi,vinywaji, hotel na usafirishaji hivyo upande mwingine wanajitangaza.
Ningekua njema kwa sasa ningenunua aristo (2jz-gte) nikaitune mpk ikatoa HP 400 tu naona itanitosha sana kwa matumizi yangu binafsi.
 
Back
Top Bottom