For petrol heads wote

makao yao makuu nackia wamehama... au ni tetesi tu.. nataka nikachukue membership pale
Wacheki kwenye simu, namba zao angalia katika page yao.

Saizi ukitaka kufanya mazoezi ya sprint pale TP unalipia na walisema watakuwa na walimu wa kufundisha kuchezea na kuendesha gari za Rally.
 
Wacheki kwenye simu, namba zao angalia katika page yao.

Saizi ukitaka kufanya mazoezi ya sprint pale TP unalipia na walisema watakuwa na walimu wa kufundisha kuchezea na kuendesha gari za Rally.
POA.. ILE SPRINT iliyopita sikupata muda wa kuhudhuria.. ila walipanga kila miezi mitatu wanafanya sprint... ngoja niwafatilie nilete mrejesho...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…