Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Mzizima ina wanachama wengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alaf vipi kuhusu ile FORD PROTO ya HUWEL.... nackia injini yake ni ya EVO?Mwezi huu kuna Rally ilifanyika Bagamoyo ila sikuhudhuria, Mkenya Manvir Bryan kasumbua sana akiwa na Ford Skoda.
Alafu kabla ya Rally kulikuwa na Nissan GT imefungwa engine ya L/Cruiser V8 imesumbua sana kwenye showoff.
Hii ya Arusha huwa ni hatari maana kuna gari nyingi kutoka Kenya zinakuja kushiriki.Pia.. Bila kusahau huko Arusha.... Moto utawaka sooon.....View attachment 874130
Hiyo gari aliagiza nje imekuja na engine ya Ford Proto, na fundi wake ni mzungu.alaf vipi kuhusu ile FORD PROTO ya HUWEL.... nackia injini yake ni ya EVO?
Hii ya Arusha huwa ni hatari maana kuna gari nyingi kutoka Kenya zinakuja kushiriki.
Hii ya saiv sio Drag race ni autofestival
Drag race ipo mwezi wa tisa hapo.. Tunawafata wakenya kwao pale MASINGA TT..
Na wewe huwa unashiriki Drag Race.Hii ya saiv sio Drag race ni autofestival
Drag race ipo mwezi wa tisa hapo.. Tunawafata wakenya kwao pale MASINGA TT..
Na wewe huwa unashiriki Drag Race.
Zq nje ya dar huwa sishiriki ila za hapa hapa dar nashiriki sana na jana usiku kulikuwa na drag race pale Quality center saa 5uck
Tanzania kwenye mashindano ya magari Evo 10 ni chache sana.
Kenya na Uganda wana Evo 10 nyingi sana. Pia hata Rally zao washiriki wanakuwa wengi muda mwingine unakuta washiriki mpaka 40.Chache ila Kwa upande wa rally kenya karibia asilimia 70 ni evo za kumwaga
Kenya na Uganda wana Evo 10 nyingi sana. Pia hata Rally zao washiriki wanakuwa wengi muda mwingine unakuta washiriki mpaka 40.
Watu wanacheza Rally mpaka na Vits,Runx,Allex ambazo wamezitune na wanakuwa na category yao wenye gari aina hizi.
Hii Uganda Motor Rally washiriki walikuwa wengiView attachment 882103