For petrol heads wote

Mwezi huu kuna Rally ilifanyika Bagamoyo ila sikuhudhuria, Mkenya Manvir Bryan kasumbua sana akiwa na Ford Skoda.

Alafu kabla ya Rally kulikuwa na Nissan GT imefungwa engine ya L/Cruiser V8 imesumbua sana kwenye showoff.
 
alaf vipi kuhusu ile FORD PROTO ya HUWEL.... nackia injini yake ni ya EVO?
 
Masinga TT is back.. Naona tickets zinaanza kuuzwa..

#updates...
 
Chache ila Kwa upande wa rally kenya karibia asilimia 70 ni evo za kumwaga
Kenya na Uganda wana Evo 10 nyingi sana. Pia hata Rally zao washiriki wanakuwa wengi muda mwingine unakuta washiriki mpaka 40.

Watu wanacheza Rally mpaka na Vits,Runx,Allex ambazo wamezitune na wanakuwa na category yao wenye gari aina hizi.
 
Hadi classic cars.. Inshort wamejipanga
Kenya na Uganda wana Evo 10 nyingi sana. Pia hata Rally zao washiriki wanakuwa wengi muda mwingine unakuta washiriki mpaka 40.

Watu wanacheza Rally mpaka na Vits,Runx,Allex ambazo wamezitune na wanakuwa na category yao wenye gari aina hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…