ngota wa nzambe
Senior Member
- Jul 28, 2015
- 121
- 136
Ni Brand ya simu, inaitwa poco m3Hiyo M3 unamaanisha milioni tatu au ni sehemu ya jina la simu?
290k tu mzee..bei sawa na burehujaweka bei, naanza kupiga ramli , kamata 100k
Unaninunulia mimi si eti?Chukua 150k chapu
Bby ww macho matatu..Unaninunulia mimi si eti?
270k mzee200k,ipo tayari kwa biashara.Sema nije pm
Hivi bby bei ya macho matatu ni sawa na tofali ngapi? We nichukulie hiyohiyo ndio naipenda bebi...na hiyo rangi ya uto ndio nimefika mimiBby ww macho matatu..
Sawa bebi pambana nae kwenye bei then utaniambiaHivi bby bei ya macho matatu ni sawa na tofali ngapi? We nichukulie hiyohiyo ndio naipenda bebi...na hiyo rangi ya uto ndio nimefika mimi
HayaSawa bebi pambana nae kwenye bei then utaniambia
Daah!! tufanye 230k nimejikamua hadi damu!!
ukifika 200,000 nitumie sms nikuletee kastoma chap.. 0678604333Nauza I PHONE 6S Plus
GB 16
Battery 100 %
Gold
Ios 14.7 updated
250,000 tuu