Phone4Sale For serious buyers only

Phone4Sale For serious buyers only

ngota wa nzambe

Senior Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
121
Reaction score
136
Simu inauzwa, ni Xiaomi Poco M3

RAM:4GB
ROM: 64GB
RESOLUTION:2040X1080(full HD)

Camera:Nyuma 48mp
Mbele:16mp
Betri:6000mAh

Simu imetumika miezi minne tu! Ni nzima haina Tatizo lolote! Unapewa pamoja na boksi na warranty yake.

IMG_20210912_104111.jpg
IMG-20210912-WA0005.jpg
IMG-20210912-WA0001.jpg
IMG-20210912-WA0000.jpg
IMG-20210912-WA0003.jpg
 
Hiyo M3 unamaanisha milioni tatu au ni sehemu ya jina la simu?
 
Hivi bby bei ya macho matatu ni sawa na tofali ngapi? We nichukulie hiyohiyo ndio naipenda bebi...na hiyo rangi ya uto ndio nimefika mimi
Sawa bebi pambana nae kwenye bei then utaniambia
 
Back
Top Bottom