For serious & single ladies: Nipo kwenye harakati za kutafuta mke mwema

Afrodenzi,

Usiogope, bandiko hili ni fomality za mwanzoni tu......! love ni chemistry zaidi sio mbwembwe zilizowekwa hapa tu!
 

Uhusiano wa wewe na mke ni wenu ninyi na si kuangalia ndugu/ Ukoo watasema nini, Chochote katika mahusiano kwa maana ya ndoa kinaweza kutokea nakusihi achana kabisa na kuangalia ndugu wanasema nini, usipozingatia hilo ki-ukweli utayaweka hatarini mahusiano yako ambayo yamkini MUNGU akikujalia utapata hivi karibuni. Naamini ndugu wana nafasi katika ndoa lalini si nafasi ya kuingilia maamuzi magumu kama ya kuhukumu kwa nini hazai!!! Kila la heri kaka!!
 

Wakati nakubaliana nawe kwenye hoja hii, ni ukweli usiopingika kuwa mwanamke kama hajazaa jamii huwa haimthamini sawa na yule aliyezaa! pia hata mke mwenye anahitaji kuwa na peace of mind katika hili jambo, awe anajiamini nk! So si suala la kulipuuza kabisa BU!
 
utawapata kabisa nna uhakika,kwa wengine bado kuolewa ni sheria

nafikiri suala la kuoa /kuolewa ni hiari fulani hivi na ni utamaduni tulioridhi kutoka kwa mababu zetu.....si kitu cha kulazimishana bali wawili wakipendana inapendeza wakaa pamoja na jamii ikajua hilo na kuheshimu maamuzi yao!
 
Nina mdogo wangu naona atakufaa ngoja nimstue awahi nafasi
 
Gaga,

Ok mtumie contacts hapo juu....!
 
Kuna dada mmoja kaachika 2times ngoja nicheki nae alikua anatafuta mtu mwenyesifa ka zako.
 
Kuna dada mmoja kaachika 2times ngoja nicheki nae alikua anatafuta mtu mwenyesifa ka zako.

Mzee mbona unafanya mzaha wewe? si lazima upost ndugu yangu!
 
Tulikubaliana mama yao atakaa nao mpaka wafikishe miaka 7, then nitawachukua wote so pia nategemea mke nitakaye mwoa awe tayari kunisaidia kuwalea pia....! asante kwa kuuliza hili swali ilibidi niliweke wazi!

Ok,thats good,kila la kheri Taluma,Mungu akutimizie haja ya moyo wako.
 
best wishez mpendwa, mie bado navutavuta kidogo. deadline yangu nimeweka mwakani majira kama haya ...
 
jamani, si ubadili mawazo tu labda na mimi nitanufaika?

haha, jaluo nyeupe bwana. ina maana hukupata kwenye mchakato ulioanzisha? mi nilidhani sasa hivi nawe una kigori tayari. ok nitafikiria ushauri wako. stay blessed
 
Sharp green.... huruma yako inawakumba wadada wenye emotional need?:suspicious:
Red.... Mwendo huohuo, madili mengine hupatikania bar..:kev:
Navy Blue... nasikitika...kuna ka harufu ka ufisadi wa mapenzi hapa!!🙂
Light green... umimaliza khabari....huyo mtarajiwa apende dume'MGUMU' asilia?inabidi umuumbe mwenyewe huyo demu!!:shock:
naenda kaunta
 
pamoja na sifa zako lakini jua tuu kuwa mke mwema hutokea kwa bwana,........ushauri subiri mwanamke aliye takikika......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…