Mkeshahoi,
Kwanza umenichekesa sana mkuu! Pili, unajua walio wengi wakitaka kuwapata vimwana wanapiga usanii kishenzi, jamaa mpaka anaazima kiwalo, tinted nk sasa hizi ni cosmetics ambazo huja kufanya maisha kuwa magumu unapofanikiwa kuwa pamoja na mwenza wako, usanii unakuwa hauna nafasi na mwenza wako anajua sasa who you are! na mabifu yanaanza hapo hapo! tuambizane ukweli mwanzoni kabisa ili mtu ajue mapema though hii ina disadvantage sana kwa unaweza kosa kabisa vimwana......! But I believe in telling people my truth!