kweli kabisa, tena akimpata asiyejua maana ya ndoa atateswa huyu jamaa na watoto wake.
Atafute mke akiwaangalia watoto wake.
jamani natafuta mke bora----sitarajii kuyapata haya kutoka kwa mke bora! kuhusu watoto ni kweli wanaweza teseka kama baba mwenyewe ni zuzu...mi siyo zuzu hata kidogo....pia nimeshainvesta kiasi, so hivi vichalii vinauhakika wa maisha yao kabisa...labda nife mapema....!
Tena Bora atafute ambae kashazaa anajua malezi yanaendaje.
Hili napingana kabisa na wewe...sio lazima nipate aliyezaa, mi sitafuti mizoga natafuta kilichobora kwa vigezo nilivyoweka....ikitokea huyo aliyezaa akawa bora ni nzuri but siko limited na hao tu......!
Ulimwengu wa sasa mabinti hawataki kulea watoto wa wenzao.
..inategemeana na mambo mengi sana hapa...though kuna ukweli kuwa wanawake waliowengi hawapendi watoto wanaowakuta but kuna cases ambazo mama hawa wameonyesha upendo wa hali ya juu kwa watoto wa kufikia....!
Mtoto ni kiunganishi kikubwa cha wazazi, hakuna anayetaka stress za mke mwenzie aliyetangulia.
....yes I agree! pia inategemea na transparency yenu kwenye ndoa hiyo mpya....!