For serious & single ladies: Nipo kwenye harakati za kutafuta mke mwema

For serious & single ladies: Nipo kwenye harakati za kutafuta mke mwema

Habari lako next, wkend nilikutafuta simu zote ulizima wewe madai yako unakula kibua na wali na familia, haya bana
 
Habari lako next, wkend nilikutafuta simu zote ulizima wewe madai yako unakula kibua na wali na familia, haya bana

.....ha!ha!ha...hapana bana! uthinithingithie mtoto wa mwenzio ww takuanzishia siredi......! ngoja nim-consult Kimey kwanza on zisi....!
 
.....ha!ha!ha...hapana bana! uthinithingithie mtoto wa mwenzio ww takuanzishia siredi......! ngoja nim-consult Kimey kwanza on zisi....!

Hahahaaaaaa nisamehe bana usijenianzishia sired maana hiyo ni mbaya sana wapwa hawatakiwi kujua siri ibaki kati yangu mimi na wewe tu lol
 
Huyo mwenye sifa zote hizo omba ashushwe kutoka juu. I bet u'll NEVER EVER get that kind of a human being on earth. That one u r looking 4 is ana angel!!!!!!!
 
Hahahaaaaaa nisamehe bana usijenianzishia sired maana hiyo ni mbaya sana wapwa hawatakiwi kujua siri ibaki kati yangu mimi na wewe tu lol

....ha!ha!ha!ha! bahati yako menithiba mdomo wewe.....!
 
Huyo mwenye sifa zote hizo omba ashushwe kutoka juu. I bet u'll NEVER EVER get that kind of a human being on earth. That one u r looking 4 is ana angel!!!!!!!

....mzee vilivyowekwa hapo juu ni just ''formal'' vigezo....vya imaginery wife ambaye ningependa kuwa naye.....! sitegemea mtu atakuwa perfect kwa kila kitu boss wangu, ila ninachotegemea ni kupata mtu ambaye tutamatch ......!
 
Maty,

While asilimia kubwa ya uliyosema ni true, kwangu mimi issue ni tofauti hasa hapo kwenye fact ya nani alianza kutaka kuachana.....!
  • That mama...alianza kudemand kuchana kutokana na tofauti za kiimani...so sio mimi nilianza hii kitu
  • That mama alikuwa na kiburi sijawahi ona.....hii na mamaake mzazi aliconfess
  • Kiburi ni sehemu ya familia yao ....(mtoto wa kwanza hadi mwisho)
  • kwao kuachika ni sifa yao ....yeye watatu kuchana na mume....!
  • that mama alikuwa mchafu sijapata kuona ....ana kazi (she gets money), nina hali nzuri kiuchumi....bado alishindwa kutumia resources hizo vizuri kujipiga sopu sopu....! mama gani hadi leo hazijui ALWAYS....anasundaga matambaa...anayarundika kwenye vipochi na kabatini....arrrrg ...ngoja niishie hapa!
So ukiangalia huo mtiririko hapo, unaweza jua kwanza si mimi nilianza kudemand tuachane.....! Pili, naamini kwenye ndoa kuna issue nyingi sana, lakini naamini pia issue hizo zinatofautiana sana, zipo zingine zinavumilika sana!
duh lijanamke chafu hadi mumewe anamnotice na mahg wapo jamani pole taluma anza mbele.vumilia ya kuvumilika sio huu ujinga. jamani wanawake wenzangu tuwe wasafi.hata kama mvivu mumeo akitoka tu akikuacha home muingize housegirl msimamie afanye usafi wa nguvu. kuhusu matambala aaaaghrrrrr. heeeeeeee.pole
 
unaamini vipi kilichozungumzwa hapa maana inaonesha tangu mwanzo kulikuwa hakuna mapenzi,wanaume bwana.
 
jinsi alivyojielezea nimemwamini tu au anwezaakawa anazuga?
unaamini vipi kilichozungumzwa hapa maana inaonesha tangu mwanzo kulikuwa hakuna mapenzi,wanaume bwana.
 
helw taluma nahisi wewe ndio mume wangu kabisa ni pm maana hata namna ya ku pm sijajua bado
Habari zenu mabibi! Nipo kwenye harakati za kutafuta mwanamke wa kuishi naye hapa Tanzania: Sifa za mke ninaye mtafuta ni kama ifuatavyo;
  • Awe na umri kati ya miaka 25 hadi 32
  • Asiwe amewahi kuolewa kwa ndoa ya aina yeyote ile
  • Asiwe amewahi kuishi na mume kama mume wake (zile za kuvutana kimya kimya bila ndoa)
  • Awe na umbo linalovutia (si bonge sana, si mwembamba sana) ie good looking ...wale wa mkorogo au mawigi....no please...!ninapenda natural beauty!
  • Elimu angalau form four na kuendelea
  • Awe mfanyakazi au mjasiliamali
  • Awe ni mkristo -RC au kama ni dhehebu lingine (sio ulokole) awe tayari kuwa RC
  • Asiwe na kuburi kabisaaaa
  • Asiwe na hasira, jaziba au vuvuzela
  • Asiwe mchafu, awe anapenda usafi wa mwili wake, nyumba, mazingira anayoishi, viwalo vyake etc
  • Awe mke mwenye hekima, busara na adabu kwa wakubwa wake
  • Awe mke anayeheshimu mila na desturi za kiafrika...asiwe adicted kwenye western culture tu.
  • Awe tayari (if god wishes) kuzaa watoto wasiozidi wawili tu
  • Awe tayari kupima VVU -wakati ukiwadia
  • Awe mtanzania wa kabila lolote
Sifa zangu;
  • Elimu chuo kikuu -na professional certificate
  • Umri miaka 34
  • Kabila Mnyalu
  • Mfanyakazi na mjasiliamali
  • Nina huruma sana for the ''needy'' people
  • Nina kunywa ....hasa weekends!
  • Nina watoto wawili - mama yao tuliachana (hakukuwa na ndoa yeyote) baada ya kushindwa kuelewana
  • Niko rafu (kuvaa, kula) lakini napenda mke asiwe rafu kama mimi
  • Nina jiamini
  • Ni mrefu - 1.67m
  • Uzito 84kgs
  • Occassionaly huwa naenda club
  • Ni mweusi ila kidogo maji ya kunde
  • Napenda muziki - wa dini na uraiani
Tafadhali kwa anaye endana na wasifu huo na ambaye hupo tayari kuishi na mimi pamoja na wasifu wangu hapo juu, naomba tuwasiliane kwa njia zifuatazo;
Tafadhali naomba kwa wale walio serious tu ndo wanitumie PM au email, hakuna mzaha au utani ninamaanisha niliyoyaandika!

Asante na Mungu awabariki sana!
 
...Mamushika, Mkeshahoi hapo kainyumbua CV kivingine vingine.....though kuna kaukweli fulani ndani yake.......!

...Bora umwambie weye.....!

....Bado mkuu TF.....! Just masaa 24 tu yamepita! nitasubiria mpaka kieleweke......! leo nilitamani niweke hili bango pale church but lol ni noma!

Taluma na wewe, yani wadada wawatu aache kuangalia kucha zake zisikatike, nakwenda saloon kupendeza akulelee watoto wako subutu.
 
Back
Top Bottom