For serious & single ladies: Nipo kwenye harakati za kutafuta mke mwema

unaamini vipi kilichozungumzwa hapa maana inaonesha tangu mwanzo kulikuwa hakuna mapenzi,wanaume bwana.

Shosti,

Ukisoma katikati ya mistari unaweza ukajua kama humu kuna usaniii au laa, wewe kama mwanamke utakuwa na rafiki zako wa kike mnaotofautina katika masuala mengi, wengi utakuwa unawafahamu wanajipenda sana, wanapenda vitu vyao na mazingira yao, wapo wengine ni wachafu an disorganised....akiingia bafuni (kwa mfano) anatumia dakika mbili ameshatoka.....downstairs ''hawakupigi mswaki'' kuna kuwa na maugali fulani hivi, tena yananuka sana, mswaki hawapigi....mdomo unanuka....can you enjoy having sex with such woman? can you even think of learning to love such woman kweli?

Sasa unategemea mwanamke wa aina hii ukimwoa tena bahati mbaya akawa na jeuri, kiburi etc etc unategemea nini Shosti? Sipo hapa kumsingizia mtu uwongo, naye ni binadamu na ninampa heshima zake but kwenye ukweli nina umwaga....ili na wengine hapa wajifunze pia!
 
jinsi alivyojielezea nimemwamini tu au anwezaakawa anazuga?

Gaga,

Nashukuru kwa kunielewa......sijaweka hata chumvi kidogo humo but kuna mengi sikuzungumza hapa....! Kina mama wajitahidi kuwa wasafi.....!
 
Shosti,

Ukisoma katikati ya mistari unaweza ukajua kama humu kuna usaniii au laa, wewe kama mwanamke utakuwa na rafiki zako wa kike mnaotofautina katika masuala mengi, wengi utakuwa unawafahamu wanajipenda sana, wanapenda vitu vyao na mazingira yao, wapo wengine ni wachafu an disorganised....akiingia bafuni (kwa mfano) anatumia dakika mbili ameshatoka.....downstairs ''hawakupigi mswaki'' kuna kuwa na maugali fulani hivi, tena yananuka sana, mswaki hawapigi....mdomo unanuka....can you enjoy having sex with such woman? can you even think of learning to love such woman kweli?

Sasa unategemea mwanamke wa aina hii ukimwoa tena bahati mbaya akawa na jeuri, kiburi etc etc unategemea nini Shosti? Sipo hapa kumsingizia mtu uwongo, naye ni binadamu na ninampa heshima zake but kwenye ukweli nina umwaga....ili na wengine hapa wajifunze pia!

unaweza kumsafisha bwana ahh wanaume mnajulikana hamkosi hila,mbona umezaa nae watoto wawili sasa,maana kwa hali unayoielezea hapo hukustahili kukaa nae hata wiki seuze mwezi
 
Wanadada wa JF, uwanja ni wenu! Jitokezini wenye sifa ili mchukue hiyo nafasi adimu kwa sasa, si mnajua kuwa kuolewa siku hizi ni bahati???
 
...Shostito,

Hujasoma post zangu vizuri....fliter post zangu kwenye hii thread, then pitia vizuri nimejibu hii hoja yako vizuri sana......!
 
Taluma na wewe, yani wadada wawatu aache kuangalia kucha zake zisikatike, nakwenda saloon kupendeza akulelee watoto wako subutu.

....Mamushka,

Unaniangusha thana, yaani kuzaa watoto ni dhambi? waliozaa hawana haki ya kuoa /kuolewa bibie? sio kweli ingekuwa hivo basi waathirika wa kwanza wangekuwa wale jamaa wa ulaya.....!
 
habari zenu mabibi! Nipo kwenye harakati za kutafuta mwanamke wa kuishi naye hapa tanzania: Sifa za mke ninaye mtafuta ni kama ifuatavyo;
  • awe na umri kati ya miaka 25 hadi 32
  • asiwe amewahi kuolewa kwa ndoa ya aina yeyote ile
  • asiwe amewahi kuishi na mume kama mume wake (zile za kuvutana kimya kimya bila ndoa)
  • awe na umbo linalovutia (si bonge sana, si mwembamba sana) ie good looking ...wale wa mkorogo au mawigi....no please...!ninapenda natural beauty!
  • elimu angalau form four na kuendelea
  • awe mfanyakazi au mjasiliamali
  • awe ni mkristo -rc au kama ni dhehebu lingine (sio ulokole) awe tayari kuwa rc
  • asiwe na kuburi kabisaaaa
  • asiwe na hasira, jaziba au vuvuzela
  • asiwe mchafu, awe anapenda usafi wa mwili wake, nyumba, mazingira anayoishi, viwalo vyake etc
  • awe mke mwenye hekima, busara na adabu kwa wakubwa wake
  • awe mke anayeheshimu mila na desturi za kiafrika...asiwe adicted kwenye western culture tu.
  • awe tayari (if god wishes) kuzaa watoto wasiozidi wawili tu
  • awe tayari kupima vvu -wakati ukiwadia
  • awe mtanzania wa kabila lolote
sifa zangu;
  • elimu chuo kikuu -na professional certificate
  • umri miaka 34
  • kabila mnyalu
  • mfanyakazi na mjasiliamali
  • nina huruma sana for the ''needy'' people
  • nina kunywa ....hasa weekends!
  • nina watoto wawili - mama yao tuliachana (hakukuwa na ndoa yeyote) baada ya kushindwa kuelewana
  • niko rafu (kuvaa, kula) lakini napenda mke asiwe rafu kama mimi
  • nina jiamini
  • ni mrefu - 1.67m
  • uzito 84kgs
  • occassionaly huwa naenda club
  • ni mweusi ila kidogo maji ya kunde
  • napenda muziki - wa dini na uraiani
tafadhali kwa anaye endana na wasifu huo na ambaye hupo tayari kuishi na mimi pamoja na wasifu wangu hapo juu, naomba tuwasiliane kwa njia zifuatazo;
tafadhali naomba kwa wale walio serious tu ndo wanitumie pm au email, hakuna mzaha au utani ninamaanisha niliyoyaandika!

Asante na mungu awabariki sana!

kaka wachekesha, we mwenyewe second hand or may be third hand,,, au recondition halafu una taka asiyeolewa. Mwaribifu tu wewe, hebu tuachie siye ambao hutajawahi kuishi kwenye ndoa tuoe, we endelea na mliochakachuliwa wenzako.

Hizo ni sifa za mtakaje, kama wewe hazikufai lipotezee tu hili bango mama.......! watu ni wanafiki sana, asilimia kubwa ya wanaume wameoa wake baada ya kuwa na mtoto/watoto wanasema ''wamajaribio'' na hawa huwa hawasemi kabisa, mpka mama /binti kama wewe SETO muingie laini then akishakutwisha mimba anaanza na harakati za kukujulisha....! sisi wengine unafiki huo hatuna! nimesema ukweli anayependa atakuja asiyependa atanipotezea tu......!
 
Go for it bwana, natumaini kwa sasa utakuwa umeshapata mabiti wanaotaka uwe mume wao. uje utujuze ukifanikiwa basi kaka taluuma

Gaga, umenisupport sana huu mchakato wangu......Mungu akubariki sana!

FYI: Nimepata pm na email za kutosha na mchakato unaendelea kwenye mambo ya ki-intellegensia zaidi.......! lakini hatua ni nzuri michujo zaidi ya mitatu imeshapita ....hasa kwa kigezo cha umri, ndoa, etc!etc! Karibia ombi langu hapo kwenye signarue linafanikiwa.....!
 
Wanadada wa JF, uwanja ni wenu! Jitokezini wenye sifa ili mchukue hiyo nafasi adimu kwa sasa, si mnajua kuwa kuolewa siku hizi ni bahati???

Nashukuru Mungu karibia maombi yangu yanasikilizwa .....wadau wamechangamkia hii kitu zaidi nilivyotarajia......!
 
Karibia natangaza matokeo ya mchakato huu......awamu ya kwanza!
 
Wewe utakuwa mbinafsi yaani mwenzio awe hajawahi kuwa na ndoa ila wewe ndio uwe used tena na watoto 2 juu, acha hizo, kama unamshiko wa ukweli wadada wanaongalia mshiko kwanza na ambao sio used wanaweza kufukia mashimo, ila sijafurahishwa kabisa na karoho kaubinafsi uliko nako..
 
kaka wachekesha, we mwenyewe second hand or may be third hand,,, au recondition halafu una taka asiyeolewa. Mwaribifu tu wewe, hebu tuachie siye ambao hutajawahi kuishi kwenye ndoa tuoe, we endelea na mliochakachuliwa wenzako.

Kumbe na wewe umemshtukia ee
 
Wewe utakuwa mbinafsi yaani mwenzio awe hajawahi kuwa na ndoa ila wewe ndio uwe used tena na watoto 2 juu, acha hizo, kama unamshiko wa ukweli wadada wanaongalia mshiko kwanza na ambao sio used wanaweza kufukia mashimo, ila sijafurahishwa kabisa na karoho kaubinafsi uliko nako..

Tatizo letu tuko wanafiki sana sijui kwa nini! watu mnazungumza hapa JF utadhani mnaishi Hawii vile au London, mnajua hali halisi ya maisha na mahusiano yetu sisi wabongo, then mtu bado unaquestion eti nina watoto wawili as if ni dhambi kuwa na watoto au ni mtu wakwanza kuwa na watoto nje ya ndoa....ajabu kweli! Mi nafikiri kwa hapa JF ninaweza kuwa wa kwanza kwa waliootafuta wachumba hapa, kuongea mambo yenye ukweli kwa 100% waliowengi wanafanya mambo hapa ki-isdingo isdingo hivi, wakati katika hali halisi maisha yao yamechakachulia kiaina!

After all, unaweza ni ita ni mbinafsi, fine unaweza ni ita ni second hand, fine unaweza ni ita used is ok.....! Nani anaweza kunyosha kidole hapa aseme katika ndoa yake waliingia na wenza wao wote wakiwa mabikra? mtu kuzaa haimanishi eti alizini saaana kuliko wewe ambaye hujazaa, tena usiyezaa unawezekana ni kichangu fulani hivi.....so sielewi hili la u-used, second hand linakujaje hapa.....! Hizo ni sifa nilizoziweka mimi no matter wewe unazitafsiri vipi, yule anayevutiwa na hivyo nilivyo atakuja tu!

Tuache kujifanya tunaishi maisha ya mbinguni wakati tupo duniani......!

Kumbe na wewe umemshtukia ee

Halafu nashangaa wandugu, huku mnaponda lakini mi-PM na email zimemiminika kibao......! Nawashukuru kwa walionielewa na kunisupport hasa GAGA, the Chief Finest et al!
 
:laugh::laugh::laugh: mbavu hazintoshi khaaa kweli jf
hakuna kabila linaitwa "mnyalu" tafadhali
 
Kaka angu kwani bado tu hujamaliza libeneke? tangaza matokeo bwana ili uthibitishe usiriaz wako, naona watu wamekukalia kooni sana. pole ila ndio maisha kila mtu na mawazo yake.Usikate tamaa
 
Dah!!!!! Nilikuwa sijachungulia hapa kupata feedback ya huu mchakato Taluma vipi mambo yanaendaje yanasonga au bado bila bila hadi sasa ila nahisi kutakuwa na mabadiliko at least umepata PM za mabinti ambao wako interested na wewe
 
....Gaga, huu mchakato umeshakamilika katika hatua ya kwanza ya ku-point! sasa taratibu nyingine ndo zinafuata......!

Dah!!!!! Nilikuwa sijachungulia hapa kupata feedback ya huu mchakato Taluma vipi mambo yanaendaje yanasonga au bado bila bila hadi sasa ila nahisi kutakuwa na mabadiliko at least umepata PM za mabinti ambao wako interested na wewe

TF.....big up sana bro, umenipa support sana kwenye mchakato huu! aisee nilimwagiwa mi-PM na emails mpaka nikashindwa ku-organise some face to face encounters.....! so mpaka sasa mchakato kwa hapa JF nataka ufungwe, naendelea na hatua nyinginezo....u know what I am saying bro!

Thanks to the JF people for letting us have this forum......!
 
Back
Top Bottom