For serious & single ladies: Nipo kwenye harakati za kutafuta mke mwema

For serious & single ladies: Nipo kwenye harakati za kutafuta mke mwema

Na baadae asije akamuanzisha thread maana huwa hawachelewi
heheeh unakuja kuona sredi sjui ana kibamia, sjui ananuka tope, balaa tupu! acha tumpigie debe taluma kama hakikueleweka tutamshauri awe mtakatifu.
 
Wewe ndo umemaliza kila kitu. Kula bia my dia usiogope ntakuja kulipa.
ubarikiwe upate mapacha saba mara sabinii.... ukija kulipa plz nipe mie mshiko ndo nilipe!! wahudumu watakuchakachua
 
Mkeshahoi,

Kwanza umenichekesa sana mkuu! Pili, unajua walio wengi wakitaka kuwapata vimwana wanapiga usanii kishenzi, jamaa mpaka anaazima kiwalo, tinted nk sasa hizi ni cosmetics ambazo huja kufanya maisha kuwa magumu unapofanikiwa kuwa pamoja na mwenza wako, usanii unakuwa hauna nafasi na mwenza wako anajua sasa who you are! na mabifu yanaanza hapo hapo! tuambizane ukweli mwanzoni kabisa ili mtu ajue mapema though hii ina disadvantage sana kwa unaweza kosa kabisa vimwana......! But I believe in telling people my truth!
Mkuu wataka embe mbivu wakati weye ushakuwa embe ya juisi.... kwa jina la konyagi mwitu nnaoigida hapa... usiangukie kwnye kinywa cha bwabwa au msagaji!!:nono:
 
Mkuu wataka embe mbivu wakati weye ushakuwa embe ya juisi.... kwa jina la konyagi mwitu nnaoigida hapa... usiangukie kwnye kinywa cha bwabwa au msagaji!!:nono:

....haya Mkeshahoi! napiga sana maombi, humo situmbukia mkuu!
 
ubarikiwe upate mapacha saba mara sabinii.... ukija kulipa plz nipe mie mshiko ndo nilipe!! wahudumu watakuchakachua

Hahaa haaa mkeshahoi sina msaada na wewe, sasa hata nikikupa wakiona siwatanijeruhi vilevile, basi ntakutumia kwa M-pesa.
 
Hahaa haaa mkeshahoi sina msaada na wewe, sasa hata nikikupa wakiona siwatanijeruhi vilevile, basi ntakutumia kwa M-pesa.
si nyingi...zishafika laki mbili tu....!!jitahiditahidi zifke kabla sijazima!
 
si nyingi...zishafika laki mbili tu....!!jitahiditahidi zifke kabla sijazima!

Aah kumbe hunywi kabisa aisee mi nilidhani zimesha fika zaidi ya hizo, ila nyama choma sio bili yangu. Usizidishe sana utaua bendi.
 
heheeh unakuja kuona sredi sjui ana kibamia, sjui ananuka tope, balaa tupu! Acha tumpigie debe taluma kama hakikueleweka tutamshauri awe mtakatifu.

sio mbaya akiwa kasisi kama akikosa mchumba unaweza kuwa paroko wa parokia mojawapo
 
Back
Top Bottom