Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante for info.... nimeona.
wengine mbona bado hawa nacte wananzigua kweli
Asante for info.... nimeona.
wengine mbona bado hawa nacte wananzigua kweli
k pouwa....vip chuo gan umepata???
YAAAAN me mwenyewe nimeshangaa....coz na mim nimiongoni mwao ambo hailet chochote wakati status yangu ilionyesha SELECTED...alafu nilipewa ARDHI nashindwa kuelewa au kwa sababu ardhi hawajatoa majina...guys mimi nimeshindwa kuelewa kabisa...
but nimecal ardhi wamesema watatoa majina within this week...:wink1::wink1:
Umepewa ardhi course gani?
1st and 2nd niliomba Medical lab za muhimbili,
na 5th choice niliomba Ardhi-ENVIRONMENTA LAB SCIENCE AND TECHN.
oky....so muhimbili washatoa majina....coz posibility ni kupat first n second choice
Muhas hawajatoa bado,
hata kwenye profile sijapewa chuo wakati application nimefanya mapema saaana trh 30 APRIL
Kaka mwenyewe nina tatizo kama lako, naweza kupata namba yao nami niwapigie?ukion hivyo ujue hiko chuo alicho omb bado hawaja post majina kweny web kam mim....coz at first nacte walionyesh nimepat ardhi Bach. scie. in RDP Ila may b bado hwaj approve lkn nimepig cm kuuliz wakasem watawek majin with in this week...
+255222780312,+255222780077Kaka mwenyewe nina tatizo kama lako, naweza kupata namba yao nami niwapigie?
Wakuu sjaelewa jinsi ya kuangalia msaada plz
itumie email yako