Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027

Add a captionLook for me kwenye Facebook.. we might become friends and you might see some of my pics..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Add a captionFesibuku unatumia jina gani maana kuna akina Mwanakijiji kadhaa huko...
mwanakijiji bana...mbona hakuna picha pale
umeangalia kwa karibu
wapi sasa hii yenye wadhungu au kwenye facebook?
wapi sasa hii yenye wadhungu au kwenye facebook?
don't believe him..he's just teasing folks....
kwenye facebook?
ukiangalia kwa mbali utaona jamaa ameshikilia ukingo...
ukiangalia kwa mbali utaona jamaa ameshikilia ukingo...
MM bana, nimetumbua macho, nothing kabisa, haha haha haha, umenifurahisha sana MM maana PakaJimmy na Preta wameangalia hadi kwa darubini lakini wapi na ukumbuke hawa wako Arusha wanakunywa maziwa kama niniangalia kwa mbali
Au inawezekana bra MM ni Mzungu, ngoja atatuambia maana naona yuko onlineoh okay...nshaona....mbele kuna hao wazee wa kizingu wawili...
MM bana, nimetumbua macho, nothing kabisa, haha haha haha, umenifurahisha sana MM maana PakaJimmy na Preta wameangalia hadi kwa darubini lakini wapi na ukumbuke hawa wako Arusha wanakunywa maziwa kama nini
mwanakijiji una visa wewe ngoja nikubali nimekukosa...maana karibu mimacho itatoboka kwa kuchungulia
Mi nshamwona huyu.. yuko karibu na maandishi ya MIN, kushoto kidogo, na kapelo lake...Naona damu ya kitanzania kabsa pale!..Utamsikia anavyochenga tena!well.. niko ndani zaidi ya picha moja.. utamuona mtu anarudia rudia amevaa kofia..