For those who love cars and women...

For those who love cars and women...

Ohh gooosh these eyes of mine!!!
Cant see you here on pic, ..Au ndo yuleee black mmoja karibu na maandishi ya MIN kule!...huh!
 
Fesibuku unatumia jina gani maana kuna akina Mwanakijiji kadhaa huko...
 
mwanakijiji bana...mbona hakuna picha pale
 
Usitese watu bana Mwanakijiji, KAMA VP SI UWEKE hiyo picha hazarani?
Au na wewe unaogopa intelijensia ya JK, askari haogopi vita bana!
 
angalia kwa mbali
MM bana, nimetumbua macho, nothing kabisa, haha haha haha, umenifurahisha sana MM maana PakaJimmy na Preta wameangalia hadi kwa darubini lakini wapi na ukumbuke hawa wako Arusha wanakunywa maziwa kama nini
 
thats true na karoti kwa wingi lakini mwanakijiji sijamuona halafu ona anasema nini.......
Well, I have come back from the Auto Show.. visit my photo albums to see some of my pictures!!! don't tell anybody!

wee MM wee
 
mwanakijiji una visa wewe ngoja nikubali nimekukosa...maana karibu mimacho itatoboka kwa kuchungulia

well.. niko ndani zaidi ya picha moja.. utamuona mtu anarudia rudia amevaa kofia..
 
well.. niko ndani zaidi ya picha moja.. utamuona mtu anarudia rudia amevaa kofia..
Mi nshamwona huyu.. yuko karibu na maandishi ya MIN, kushoto kidogo, na kapelo lake...Naona damu ya kitanzania kabsa pale!..Utamsikia anavyochenga tena!
 
KJJ.JPG
 
Back
Top Bottom