For you💝💝

For you💝💝

Mr possibility

Senior Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
175
Reaction score
134
Mmmh hellow
Mmmh hellow
X2

Ningependa nikuulize swali
Japo sitaki kukukwaza
Ningependa kujua uhali
Ningependa kujua japokuwa uko mbali

Ni wazi unafahamu
Kuwa tumetoka wote mbali....
Kwanini lakini
Siku hizi umekuwa hujali...

Uh nimepigwa na butwaa
Kwa shida zile zote na hali
Tulivumilia.....
Tukashine pasipo jua kali...

Leo umekua mkali
Unakasirika,unagadhibika
Nabaki najiuliza maswali
Hivi kwanini umebadilika..


Unajua nakupenda...?
Ila hutaki kuelewa mamah
Ufiche moyo mchanga
Baby baby nakuomba


Mh mazito ya walimwengu
Hayo mengine mwachie Mungu
Wewe fanya urudi
Kwami Peke yangu huku sitaweza...

Uh my wangu....
Uh moyo wangu.....
Uh my wangu.....uh
Rudi... rudi..
X2

😁😁😁😁😁😁✍️✍️✍️✍️
 
Back
Top Bottom