Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,210
- 1,720
Ni wakati wa kujikumbusha hii thread.... https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/5478-salva-rweyemamu-siyo-mtanzania.html
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wakati wa kujikumbusha hii thread.... https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/5478-salva-rweyemamu-siyo-mtanzania.html
Kuna wakati Rostam alipofanya press conference aliwahi kutamka kuwa watu wengine walikuwawanamchukia kwa sababu aliwanyima vyeo!! Sasa hii ni dhahili kuwa huyu bwana all along ni mbia wa Urais wa nchi yetu bila sisi wenyewe kujua; ingawa muungwana alikanusha kuwa na ubia na mtu! RA sio tu alimpatia kazi Salva Ikulu bali hata appointment ya Zakia Meghji kuwa waziri wa fedha ilikuwa ni recommendation ya Rostam kama njia ya kufacilitate wizi wa fedha za Kagoda na mambo mengine ya kifisadi."Even if you found the idea of helping us become independent unattractive and costly, you could at least have looked for a way to accommodate us in some positions within the new Government whose struggle to get into power we so painfully supported and for so long."
Na kweli baada ya malalamiko haya Salva akapewa kazi Ikulu.
Je Kiwete aweza kumshughulikia RA fisadi?
Wadanganyika tuna kesi ya kujibu kwa Mungu kama tutaendela kiweka CCM madarakani!!
Jamani this might be a record breaker...endeleeni maana as time goes by hizi thanks zitakuwa kubwa zaidi
Nadhani itakuwa si vibaya kuirudisha ile thread ya SALVA RWEYEMAMU SI MTANZANIA
Jakaya Mrisho Kikwete would have been elected with or without all those tapelis who claim to put him there;Please do not waste our countries time and money in misleading people. What we need is a country thats being ruled with some effort to help poor people.
Hivi ukipewa ahsante kibao namna hiii kinafuata nini? Maana kama kuna chochote kitu na sisi tuanze kuchakalika kuleta nyeti hapa, kama hakuna impact yoyote watu mnashukuru tu then ur THANKS are pointless. How many of you who gave ur appreciation ready to take affirmative action now so as we all know this post created real impact.
Tuache unafiki na tuseme kweli alaa!!!!
Nimesoma kwa kirefu tu hiyo barua ya Salva. Inaonyesha katika nchi hii tuna 'vichwa' vya kweli vyenye maarifa. Tatizo ni kwa vipi hivi vichwa vinatumika. Alivyoeleza hapo ni utaalamu mtupu na kuweli mtupu! Kuna nguvu ya ziada ambayo inatoka nje ambayo inawasukuma kufanya mambo ambayo jamii inafikiri hayafai. Labda tatizo lake hapa ni kuwa na hiyo tamaa ya kuingia kwenye utawala mpya, lakini tujiulize, wakati JU akiwa anamiliki HCL, SAlva alikuwa na wazo la kufanya kazi na utawala mpya? Aliomba kazi ikulu au ndiyo kazi iliyotokea mbele ya RA? Nilipomsoma nilimegundua kuwa ni mtu wa kazi hasa kwa ni ana upeo. Mi naamini kama angebaki kwenye private sector ingesaidia zaidi kwani kwa position kama aliyo nayo sasa ni kama kuzibwa mdomo tu. Pia siamini kama ishu ni maslahi kwani kwa mtu kama yeye hana cha kupoteza popote, labda tu alitafuta umaarufu hasa ukitegemea alipata mwanya wa ku-push ili kuelekea huko. BAdo hoja inabako pale pale. Sioni kosa la Salva popote bali ni zile nguvu zinazomzunguka ndizo zenye makosa zaidi. Kwa nini akane barua aliyoandika?
Should we be dissapointed that Jenerali Ulimwengu pocketed some money gained from ufisadi?
Dogo amka,
Si kila mtu anaona pesa ni kila kitu...katika taifa lenye tamaa ya kibepari hata uwe na mali kiasi gani bado utahitaji zaidi..kwa mfano utahitaji uendane na mabadiliko ya sayansi na teknolojia...gari mpya kuendana na wakati si ule mkweche wako wa enzi za Mwalimu uingize barabara, wengine wanataka kuishi karibu na upepo mwanana wa bahari ya hindi wakiwa kwenye mjengo murefu wawe wa kwanza kuziona meli zinazokaribia jiji la dar es salaam. Kumiliki makampuni kibao na kuingia kwenye rekodi ya dunia ya watu wenye MIHELA.
Salva pamoja na uwezo wake bado ametusaliti watanzania kwa kula na wakoloni weusi huku akijua wananchi wameweka imani kubwa kwake. Ukitaka kujua zaidi nakushauri nenda katufuteni filamu moja maarufu inayoitwa "ANIMAL'S FARM". Kwa muhutsari ni kuwa baada ya kunyanyaswa kwa muda mrefu na mwanadamu, wanyama waliitisha kikao cha dhararu na kukubaliana kufanya mapinduzi. Walifanikiwa ila baada kiongozi wa mapinduzi hayo ambaye alikuwa bwana "NGURUWE" aliwabadilika wenzake na kwa kuwatumia maaskari wake (walikuwa mbwa) akaanza kula gud time na binadamu yule yule huku akiwauza wenzie.
Hapo ndipo utajua kama salva anapaswa kualumiwa au laa! Kua kijana usikimbilie kukimbia wakati bado hata kutambaa hujaweza.