Kelele za ........hazimmnyimi nani usingizi vile?
Hivi ni kwamba watanzania hatufahamu historia au tunapuuza historia? kuna gani geni katika hilo? Kama tutatulia na kukumbuka historia ya miaka minne tu iliyopita hakuna jipya wwla la kushangaza.
Rweyemamu alishiriki katika kampeni wa mtandao wa kikwete ambao ulikuwa na washirika saba ambao kati yao rostan alikuwepo. kwa uhusiano huo la ajabu ni lipi?
hebu toeni mpya sasa hizo za zamani.
Arudi kufanya nini?Nimechoka kabisa... Kambarage naomba rudi baba yetu wewe
Arudi kufanya nini?
Waacheni wafu wapumzike.
Walifanya sehemu yao.
Lini na ninyi wa kizazi hiki, mtafanya sehemu yenu?
sikuiti uhukumu ila shuka....heshima mbele mazee.
Wanajua wakisema tu kachemchem ka vijisenti kwishney anayeweza labda dr tu wengine cjui.
Anyway hii nji hiiiiiiii. Tatizo . Shuka bwana shuka .
Kwi..kwi...kwi...FP.. wenzio katika hili wamekosa usingizi.. hadi wanatusingizia wengine kuwa ndio wamiliki wa zeutamu.. !!
Mkuu sehemu zetu tunafanya. Na ndio maana tumeanza kumwombea Mkuu awamu nyingine hadi 2015. Hata hivyo hatuna hakika nini kitaendelea baada ya hapo. Pia hata hatujui akimaliza ngwe yake atakimbilia wapi kwani mwenzie Ben anasota kwa Pressure inayopanda na kushuka kila baada ya dakika 10. Lakini tutajaribu kutafuta mkakati mwingine. Itabidi tuige mfano wa Museni ili JK wetu aendeleze mazuri anayolifanyia taifa letu. Kelele za mlangoni tu.... hatuna muda wa kusumbuana na Ze utamu wanaomkosea adabu kipenzi na mkombozi wa Watanzania (Musa wetu)!
...This is what we want to see here at JF
shehe kigumu ni kuzipata. ila kuzipost hatuna shaka maana tuna hakika tunafanya hivi kwa heshima ya nchi yetu.Sawa, vema, "haya ndio tunataka kuyaona hapa JF," basi lete tuzione. Kalete nyaraka za siri hapa JF tuzione.
Si ndio unazotaka zije hapa? Basi kazilete basi, kigumu nini?
FP.. wenzio katika hili wamekosa usingizi.. hadi wanatusingizia wengine kuwa ndio wamiliki wa zeutamu.. !!
shehe kigumu ni kuzipata.
Mimi umeona nimemlalamikia Enigma na Invisible kwa nini hawaleti siri za serikali more often? Kina Invisible wameshaanzisha jamvi, wakali popularize, wakali maintain, bure. Mwenye nyeti, mwenye siri za serikali, mwenye nyaraka za nchi za ufisadi, na abandike, sio alalamike kwamba wingine hawajambandikia. Bandika wewe basi.We dilunga unazo? haya zipost basi. maana mie sina
Mzee Mwenzangu;
Mie nawalaumu UWT. Siamini kama kabisa kuwa mwenye akili anashindwa kutambua kuwa "vichwa" vya humu sio vya kwenda Zeutamu!!!!
Kweli kabisa Ze UWT wameshindwa kumpata huyo ze utamu?!!!, Mbona sio kazi kubwa ukiwa na resources?
Wamuulize yule aliyekuwa anapeleka picha mwanzoni na kudai hongo.... yule yule mwenye tabloids kibao bongo... Kama andai hamjui basi kweli ni mjinga!
911 (Yesterday), Alpha (Yesterday), Aluta (Yesterday), AmaniGK (Today), Baba Ubaya (Yesterday), BabaDesi (Yesterday), Baba_Enock (Yesterday), Bi Tarabushi (Yesterday), Bi. Senti 50 (Yesterday), bigtom (Yesterday), Bint (Yesterday), bob (Yesterday), Bubu Ataka Kusema (Yesterday), Bulesi (Yesterday), Burn (Yesterday), Chief (Yesterday), Companero (Today), COMRADE44 (Yesterday), Counterpunch (Yesterday), Dan M (Yesterday), Dark City (Yesterday), Dilunga (Yesterday), dmaujanja1 (Today), Eeka Mangi (Yesterday), FDR.Jr (Yesterday), Game Theory (Yesterday), Ghwakukajha (Yesterday), globarch (Yesterday), Haki.tupu (Yesterday), Halisi (Yesterday), Hofstede (Yesterday), ibambasi (Yesterday), Interested Observer (Yesterday), Invisible (Yesterday), Jafar (Yesterday), Jasusi (Yesterday), kela72 (Yesterday), Kidatu (Yesterday), Kilinzibar (Yesterday), Kinyamana (Yesterday), Kipunguni (Today), kiteitei (Yesterday), Kizimkazimkuu (Today), Komavu (Yesterday), Kuntakinte (Yesterday), LazyDog (Yesterday), lemunyake (Yesterday), limbani (Yesterday), Lusajo (Today), Lyampinga (Yesterday), Maamuma (Yesterday), Maane (Yesterday), macho_mdiliko (Yesterday), Mafuchila (Yesterday), Mag3 (Yesterday), Magezi (Yesterday), Makaayamawe (Yesterday), Mama Lao (Yesterday), Manta (Yesterday), Masaki (Yesterday), Maskini Mimi (Yesterday), matuse (Today), Mbalamwezi (Yesterday), MC (Yesterday), Mchaga (Yesterday), Mdondoaji (Yesterday), Mfamaji (Yesterday), Mfwatiliaji (Yesterday), Mkaguzi (Today), Mkandara (Yesterday), Mlalahoi (Yesterday), Mnyamahodzo (Yesterday), moelex23 (Yesterday), Morani75 (Yesterday), Mpendanchi-2 (Yesterday), Mpita Njia (Yesterday), msabato masalia (Yesterday), mtimti (Yesterday), Mtindiowaubongo (Yesterday), mTz (Yesterday), Mzalendohalisi (Yesterday), Mzawa Halisi (Yesterday), Mzee Mwanakijiji (Yesterday), mzeeba (Yesterday), Njimba Nsalilwe (Yesterday), Nono (Yesterday), NTIRU (Yesterday), Nurujamii (Yesterday), nyauba (Yesterday), Nziku (Yesterday), Ogah (Yesterday), Outlier (Yesterday), PainKiller (Yesterday), Pasco (Yesterday), Realist (Yesterday), rmashauri (Yesterday), rolemodel (Yesterday), Sabode (Yesterday), selemala (Yesterday), Selous (Yesterday), semilong (Yesterday), shaban (Today), shalom (Yesterday), Shedafa (Yesterday), SMU (Yesterday), Spear (Yesterday), SpinDoctor (Yesterday), Superman (Yesterday), Susuviri (Today), Tina (Today), Tristan (Yesterday), Tshala (Today), tzengo (Yesterday), urithiwetu (Yesterday), Waberoya (Yesterday), wembemkali (Yesterday), WomenofSubstanc (Yesterday), Yebo Yebo (Yesterday), Yo Yo (Yesterday), Zak Malang (Yesterday), Zanaki (Yesterday), Zed (Yesterday)