For your peace of mind, don’t try to understand everything

Hi ni kwa wanandoa walioishi miaka kibao na watoto, ila kwa mchumba au demu fukuq kila kitu
 
Ujinga fulani unalinda amani, ujifunze kuwa mwepesi,maana Kila jambo linakuja kwa wakati wake, usilazimishe kujua kabla ya muda wake.
 
Wakati mwingine hata kwa Mpenzi wako usitafute kujua kila kitu kuhusu yeye, wanadamu hatujakamilika na hakuna mtu mkamilifu. Mjue kiasi ila usitake kumjua sana.
Usitafute kujua ni tofauti sana na kujaribu kuelewa (understanding); Ukitaka Peace of Mind (na kama hapa tunaongelea watu na mahusiano) always try to understand everyone; Binafsi hili limenisaidia sana Kila mtu huwa ana sababu na anachofanya kina sababu hivyo ukiangalia kila jambo from their perspective utawaelewa...

Mfano kuna mzazi alikuwa amewaua watoto wake huku amechemsha blanketi (ukiangalia kwa haraka unaweza kusema ni katili) ila ukivaa viatu vyake utaona kwamba ile njaa na wanamuangalia hakuna chakula na yale mateso alioan afadhari wote wafe kuondokana na matatizo.... Kwahio ukiangalia vitu kutoka perspective ya mtu husika (be it a wise or misguided decision) utawaelewa na huenda hata ukaacha kuwa judgmental na ukitaka kuwatoa huko huenda mka debate your different perceptions...

Na kwenye everything else there is nothing fulfilling kama a quest for knowledge (understanding and questioning everything, especially questioning oneself) after all, Unexamined life is not Worth Living
 
Emu rudia tena hapo kwenye huyo mzazi umesemaje?
 
kuna msemo wa waswahili kuw aukimunguza bata hutomla.
Actualy hii ni excuse iliyo tengenezwa kwa kuwa na hofu ya kuujua ukweli

The truth is ni bora kuujua ukweli mapema, kuliko kujiaminisha uongo

Nakuunga mkono kwenye hili
 
Emu rudia tena hapo kwenye huyo mzazi umesemaje?
Wapi haujaelewa ? Alichukua maisha yake na ya watoto wake..., huku blanketi limechemshwa (hence huenda aliwaza kula hilo blanketi kama chakula) lakini ikaonekana haiwezekani kwahio akaamua kujiua yeye na watoto wake (why?) in her perception maisha ya njaa na watoto wake kumuangalia kwa kuteseka bila kuweza kufanya lolote was harder kuliko kuondokana na maisha aliyokuwa anaishi (death was easier); Thus sio ukatili uliopelekea hayo bali upendo wa kukatisha mateso (we can argue about the misguidedness ya maamuzi yake lakini sio motive of the deed..., you can call it naivete but not malevolent )
 
Hapa sasa nimekuelewa mkuu palipokua pananivuruga ni hapo kwenye kulichemsha blanketi anachemshaje na huku ameshakufa ila nimekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…