Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Wewe unae lalamika hivi mmh..nina wasiwasi😄😄Basi nitakuhudumia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unae lalamika hivi mmh..nina wasiwasi😄😄Basi nitakuhudumia
usijali mpenzi hapa hakuna matataWewe unae lalamika hivi mmh..nina wasiwasi😄😄
Juzi tulipeana talaka kama nakumbuka vizuriusijali mpenzi hapa hakuna matata
nimeifuta penzi limerudi tena kwa spidi ya sgrJuzi tulipeana talaka kama nakumbuka vizuri
Ha haaaa ndoa hizinimeifuta penzi limerudi tena kwa spidi ya sgr
Ha haaaa ndoa hizi
Usitafute kujua ni tofauti sana na kujaribu kuelewa (understanding); Ukitaka Peace of Mind (na kama hapa tunaongelea watu na mahusiano) always try to understand everyone; Binafsi hili limenisaidia sana Kila mtu huwa ana sababu na anachofanya kina sababu hivyo ukiangalia kila jambo from their perspective utawaelewa...Wakati mwingine hata kwa Mpenzi wako usitafute kujua kila kitu kuhusu yeye, wanadamu hatujakamilika na hakuna mtu mkamilifu. Mjue kiasi ila usitake kumjua sana.
Umefanya siku yangu iwe njema kwa huu wimbo😅😅😅😅. Una vituko wewe Kenzy
Nishakupa moyo kazi kwako sasa kuumiza ama kuutuliza!Umefanya siku yangu iwe njema kwa huu wimbo😅😅😅😅. Una vituko wewe Kenzy
Romance? Au nimesoma vibayaAloo pesa nataka. No romance without finance
Emu rudia tena hapo kwenye huyo mzazi umesemaje?Usitafute kujua ni tofauti sana na kujaribu kuelewa (understanding); Ukitaka Peace of Mind (na kama hapa tunaongelea watu na mahusiano) always try to understand everyone; Binafsi hili limenisaidia sana Kila mtu huwa ana sababu na anachofanya kina sababu hivyo ukiangalia kila jambo from their perspective utawaelewa...
Mfano kuna mzazi alikuwa amewaua watoto wake huku amechemsha blanketi (ukiangalia kwa haraka unaweza kusema ni katili) ila ukivaa viatu vyake utaona kwamba ile njaa na wanamuangalia hakuna chakula na yale mateso alioan afadhari wote wafe kuondokana na matatizo.... Kwahio ukiangalia vitu kutoka perspective ya mtu husika (be it a wise or misguided decision) utawaelewa na huenda hata ukaacha kuwa judgmental na ukitaka kuwatoa huko huenda mka debate your different perceptions...
Na kwenye everything else there is nothing fulfilling kama a quest for knowledge (understanding and questioning everything, especially questioning oneself) after all, Unexamined life is not Worth Living
kuna msemo wa waswahili kuw aukimunguza bata hutomla.Don't be a fool by deceiving yourself with comfort. Tambua life's a bitch na binadamu ni mnyama asiyeaminika. Fukua kila kitu kuhusu huyo kiumbe ili kusave akili na muda wako siku yakifichuka.
Wanaita a throughout background check. Time is an important resource.
Hold ON hapa umesemaje? Ukimkalangiza bata hutomla au ukimuunguza bata hutomla?kuna msemo wa waswahili kuw aukimunguza bata hutomla.
Wapi haujaelewa ? Alichukua maisha yake na ya watoto wake..., huku blanketi limechemshwa (hence huenda aliwaza kula hilo blanketi kama chakula) lakini ikaonekana haiwezekani kwahio akaamua kujiua yeye na watoto wake (why?) in her perception maisha ya njaa na watoto wake kumuangalia kwa kuteseka bila kuweza kufanya lolote was harder kuliko kuondokana na maisha aliyokuwa anaishi (death was easier); Thus sio ukatili uliopelekea hayo bali upendo wa kukatisha mateso (we can argue about the misguidedness ya maamuzi yake lakini sio motive of the deed..., you can call it naivete but not malevolent )Emu rudia tena hapo kwenye huyo mzazi umesemaje?
Sorry typing error, i mean ukimchunguzaHold ON hapa umesemaje? Ukimkalangiza bata hutomla au ukimuunguza bata hutomla?
Hapa sasa nimekuelewa mkuu palipokua pananivuruga ni hapo kwenye kulichemsha blanketi anachemshaje na huku ameshakufa ila nimekuelewaWapi haujaelewa ? Alichukua maisha yake na ya watoto wake..., huku blanketi limechemshwa (hence huenda aliwaza kula hilo blanketi kama chakula) lakini ikaonekana haiwezekani kwahio akaamua kujiua yeye na watoto wake (why?) in her perception maisha ya njaa na watoto wake kumuangalia kwa kuteseka bila kuweza kufanya lolote was harder kuliko kuondokana na maisha aliyokuwa anaishi (death was easier); Thus sio ukatili uliopelekea hayo bali upendo wa kukatisha mateso (we can argue about the misguidedness ya maamuzi yake lakini sio motive of the deed..., you can call it naivete but not malevolence )
Aah kwa hio bata ukimchunguza chunguza anavyokunyakunya huaro hata akila kokoto au matofali humli?Sorry typing error, i mean ukimchunguza
Ni msemo wa waswahili i guess, when it comes to reality mambo yana differAah kwa hio bata ukimchunguza chunguza anavyokunyakunya huaro hata akila kokoto au matofali humli?