zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Emu zungumza vizuri hapo mambo yanapo-differ inakuaje kuaje mpaka yana-differNi msemo wa waswahili i guess, when it comes to reality mambo yana differ
Umesoma vyemaRomance? Au nimesoma vibaya
Daaah unapenda kupigwa romance na vibunda mezani?Umesoma vyema
Ndio mkuuDaaah unapenda kupigwa romance na vibunda mezani?
Kwa hio nikikuwekea kibunda kiasi gani mezani unanipa hio romance chapu?Ndio mkuu
Haiendi hivyo. Ni hadi nikukubali. Pesa sio kigezo cha kwanzaKwa hio nikikuwekea kibunda kiasi gani mezani unanipa hio romance chapu?
Haya step1 : nikubaliHaiendi hivyo. Ni hadi nikukubali. Pesa sio kigezo cha kwanza
Loh...just like that?Haya step1 : nikubali
Ndio hapo wewe nikubali kisha twende step 2Loh...just like that?
Nimeipenda hii"Kwa nia njema kabisa ya kuitunza amani ya moyo, usitafute kujua kila kitu"
Ni jambo jema kujua ukweli wa mambo kwa marefu na mapana, lakin kuna baadhi ya mambo acha yakupite Tu ili kutunza amani yako.
Wakati mwingine hata kwa Mpenzi wako usitafute kujua kila kitu kuhusu yeye, wanadamu hatujakamilika na hakuna mtu mkamilifu. Mjue kiasi ila usitake kumjua sana.
Tunaishi kwenye ulimwengu uliojaa kila aina ya maarifa, dhana na imani. Utandawazi umefanya dunia iwe kama kijiji. Hivi leo kuna imani ambazo hata zamani hazikuwepo. Acha zikupite.
Maarifa yakizidi huwa ni mzigo kwenye moyo, Relax jifunze mambo yako ya muhimu, Fanya ibada, kula matunda, zingatia mazoezi, ishi maisha. Kuwa mjinga kwa baadhi ya mambo, hivyo ndivyo utakavyoitunza amani yako ya Moyo.
Hebu niacheNdio hapo wewe nikubali kisha twende step 2
Demi nikubali tuone romance itakuaje kwekwekweHebu niache
For your peace of mind understand God so deeply,he will give you the kind of peace the world can not offer..."Kwa nia njema kabisa ya kuitunza amani ya moyo, usitafute kujua kila kitu"
Ni jambo jema kujua ukweli wa mambo kwa marefu na mapana, lakin kuna baadhi ya mambo acha yakupite Tu ili kutunza amani yako.
Wakati mwingine hata kwa Mpenzi wako usitafute kujua kila kitu kuhusu yeye, wanadamu hatujakamilika na hakuna mtu mkamilifu. Mjue kiasi ila usitake kumjua sana.
Tunaishi kwenye ulimwengu uliojaa kila aina ya maarifa, dhana na imani. Utandawazi umefanya dunia iwe kama kijiji. Hivi leo kuna imani ambazo hata zamani hazikuwepo. Acha zikupite.
Maarifa yakizidi huwa ni mzigo kwenye moyo, Relax jifunze mambo yako ya muhimu, Fanya ibada, kula matunda, zingatia mazoezi, ishi maisha. Kuwa mjinga kwa baadhi ya mambo, hivyo ndivyo utakavyoitunza amani yako ya Moyo.
Usinikumbushe utamu😋😋Demi nikubali tuone romance itakuaje kwekwekwe
Utamu wa kupigana romance mpaka chiniUsinikumbushe utamu😋😋