For your peace of mind, don’t try to understand everything

"Kwa nia njema kabisa ya kuitunza amani ya moyo, usitafute kujua kila kitu"

Ni jambo jema kujua ukweli wa mambo kwa marefu na mapana, lakin kuna baadhi ya mambo acha yakupite Tu ili kutunza amani yako.

Wakati mwingine hata kwa Mpenzi wako usitafute kujua kila kitu kuhusu yeye, wanadamu hatujakamilika na hakuna mtu mkamilifu. Mjue kiasi ila usitake kumjua sana.

Tunaishi kwenye ulimwengu uliojaa kila aina ya maarifa, dhana na imani. Utandawazi umefanya dunia iwe kama kijiji. Hivi leo kuna imani ambazo hata zamani hazikuwepo. Acha zikupite.

Maarifa yakizidi huwa ni mzigo kwenye moyo, Relax jifunze mambo yako ya muhimu, Fanya ibada, kula matunda, zingatia mazoezi, ishi maisha. Kuwa mjinga kwa baadhi ya mambo, hivyo ndivyo utakavyoitunza amani yako ya Moyo.
Nimeipenda hii
 
For your peace of mind understand God so deeply,he will give you the kind of peace the world can not offer...
 
Unless you can handle the pressure
Jamaa yangu mmoja alitaka kuchunguza simu ya mkewe alihisi simething fishy, akataka msaada.
nikamuuliza;
unaweza kumuacha!?,
unaweza kuvumila na kumsemehe bila kinyongo!?,
Akajibu sijui, nikamwambia basi achana na hii mambo
 
Back
Top Bottom