We PU.NGA mimi nimepoteza ndugu, jamaa na marafiki kadhaa kupitia hawa WAHUNI wanaojiita wasiojulikana, kwanini unataka kunilazimisha niendelee kuamini nchi hii ina amani wewe pumbavu?Eti watu wanaishi kama digi digi embu kuwa na aibu kidogo, embu tembelea hizo nchi zilizotolewa hapo juu alafu ukirudi anzisha uzi humu.
Kwani umeambiwa wanaouwa albino wanakula nyama zao?Hamna cha past news, bado mnawatafuna ni ile tu siku hizi vyombo vya habari mumevikandamiza kabisa, ila tutaendelea kuwakumbusha nyie ni watu wa roho ngumu na nyeusi, mauaji ya albino na kutafuna nyama zao ndio sababu mpo maskini hadi leo.
Punguza jazba...series mpya ya koro show hyo hapo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
https://www.facebook.com/
View attachment 1200721
We PU.NGA mimi nimepoteza ndugu, jamaa na marafiki kadhaa kupitia hawa WAHUNI wanaojiita wasiojulikana, kwanini unataka kunilazimisha niendelee kuamini nchi hii ina amani wewe pumbavu?
Mere exaggeration!Kama kuna magenge yana teka, kutesa na kuua watu pasipokujulikana wala kuchukuliwa hatua yeyote ile, utasemaje Tanzania ni nchi salama Mkuu?
Ni salama kwako, mkeo, watoto wako na wapambe zako.Hahaha hata utukane vipi, Tanzania ni nchi salama bado, kadanganye wenzako vijiweni huko,
Unaambiwa usipite hapa wewe unapita, kama sio ukumbafu ni nini. [emoji23][emoji23][emoji23]
All of these countries are richer and more developed than Tanzania .And guess what? All these countries have more foreign immigrants living there than Tz.Wazungu bwana eti USA ni 16 pamoja na fujo zoteView attachment 1200588
We PU.NGA mimi nimepoteza ndugu, jamaa na marafiki kadhaa kupitia hawa WAHUNI wanaojiita wasiojulikana, kwanini unataka kunilazimisha niendelee kuamini nchi hii ina amani wewe pumbavu?
Ni salama kwako, mkeo, watoto wako na wapambe zako.
All of these countries are richer and more developed than Tanzania .And guess what? All these countries have more foreign immigrants living there than Tz.
Njaa mbaya View attachment 1200715
Hii si ya leo wala jana, ni zaidi ya miaka 5 iliyopita..Hehehe hii sindano imekuingia hadi umekimbia kutafuta past news [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani hii orodha nimeitengeneza Mimi?, hao hao wanaosema sema imepiga hatua katika mazingira rahisi ya kuwezesha kufanya biashara, Leo wanasema Kenya si salama kwa maisha ya binadamu, yaani bure Kenya ingekua ni mbuga kubwa ya wanyama, na watu wote wakahamishiwa Tanzania.Somalia na syria zimeshika nafasi ya ngapi
Korosho na orodha ya nchi hatari zaidi kuishi duniani, vinahusianaje, au ndio kusema umebanwa kende, huna pa kukimbilia?Punguza jazba...series mpya ya koro show hyo hapo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
https://www.facebook.com/
View attachment 1200721
Imeshajulikana wanajiteka kuchafua taswira ya nchi kwa manufaa yao ya kisiasa.Kama kuna magenge yana teka, kutesa na kuua watu pasipokujulikana wala kuchukuliwa hatua yeyote ile, utasemaje Tanzania ni nchi salama Mkuu?
Kama kuna magenge yana teka, kutesa na kuua watu pasipokujulikana wala kuchukuliwa hatua yeyote ile, utasemaje Tanzania ni nchi salama Mkuu?
Somalia ipo bara gani au washaiondoa Africa, Libya, Syria,
Au akili yangu ndo haina Akili