Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 4,444
- 4,967
We PU.NGA mimi nimepoteza ndugu, jamaa na marafiki kadhaa kupitia hawa WAHUNI wanaojiita wasiojulikana, kwanini unataka kunilazimisha niendelee kuamini nchi hii ina amani wewe pumbavu?Eti watu wanaishi kama digi digi embu kuwa na aibu kidogo, embu tembelea hizo nchi zilizotolewa hapo juu alafu ukirudi anzisha uzi humu.