Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,575
Wakienda Dubai wanaweza kununua malls kadhaaHao hawana hela, na wizi wao ni mwingi kwa Africa tu
Wakija nazo nje wataishia kununua nyumba mbili tu
Forbes Ina masharti ila sio ya mganga
Yule cover Tu. Nyangumi yupo mbele ya ChalinzeLugumi anakosaje hapo
Hi yo ni black marketWanasiasa wanachota Mabilioni ambazo ni Kodi za walalahoi (Mazombi) bila huruma. Wanaanzisha biashara kubwa kubwa nchini na ng'ambo. Kwann wasiwepo Forbes list of Billionaires ili tujivunie vya kwetu?
Dubai sio mchezo aiseeWakienda Dubai wanaweza kununua malls kadhaa
Kama Kuna uhakika wa pesa waliyonayo na ushahidi upo, basi nami naunga mkono wawekwe kwenye lists za Forbes!Wanasiasa wanachota Mabilioni ambazo ni Kodi za walalahoi (Mazombi) bila huruma. Wanaanzisha biashara kubwa kubwa nchini na ng'ambo. Kwann wasiwepo Forbes list of Billionaires ili tujivunie vya kwetu?
Vyanzo si hoja
Duuh na ikifika kipindi cha kampeni wanawachukua Wasanii na kuwalipa vijisenti na kulipia hotel na kuvalishwa sale za Chama wao wanajiona wanapendwa kumbee, yani Wasanii wajinga yani hawawazi future ya vizazi vyao. Yani wakiumwa ugonjwa wa kujitibu gharama ya Million 5 inawashinda.Kwa Hali ilivyo Mwanasiasa anaweza kuamrisha apewe bilioni 90 ndani ya masaa pesa analetewa nyumbani. Anaanza ujenzi wa Hoteli chap kwa CASH MONEY toka kwa Mazombi.