Forbes: Floyd Mayweather ndio mwanamichezo tajiri zaidi duniani. Ampiku Messi na Ronaldo

Moi,

Floyd "money" Mayweather kwasasa utajiri wake ni dollar billion moja za Kimarekani.

Miaka mitatu minne hivi iliyopita utajiri wake ulikuwa US$90 M. Wengi wakamtabiria atafulia. Kwadababu jamaa matumizi yake ni ya kutisha. Kwenye kubet tu alikuwa anatumia 1m $. Magari ya kifahari na majumba na kumwagia malaya hela. Haters wakaenda mbali na kumtabiria mwaka hutapita atafulia.

Cha ajabu jamaa shule hana matumizi yake ya hela ni kufuru sana lakini kila uchwao anazidi kutajirika. Ni mjanja sana.
Screenshot_2018-06-08-22-47-46.png
Screenshot_2018-06-08-22-45-55.png
Screenshot_2018-06-08-22-44-42.png
Screenshot_2018-06-08-22-41-25.png

Mods msiunganishe huu uzi

CC; Kiranga
Nyani Ngabu
 
Hivi TMT ya Mayweza ndio Wakurugenzi wakuu walikuwa ONTARIO ,Habibu Pamoja na Hanifa?
 
Kila mbuzi atakula kulingana na usawa wa kamba yake........

Jitahidi uongeze urefu wa kamba ili ujiongezee wigo mpana wa kula majani mengi zaidi......
 
Moi,

Floyd "money" Mayweather kwasasa utajiri wake ni dollar billion moja za Kimarekani.

Miaka mitatu minne hivi iliyopita utajiri wake ulikuwa US$90 M. Wengi wakamtabiria atafulia. Kwadababu jamaa matumizi yake ni ya kutisha. Kwenye kubet tu alikuwa anatumia 1m $. Magari ya kifahari na majumba na kumwagia malaya hela. Haters wakaenda mbali na kumtabiria mwaka hutapita atafulia.

Cha ajabu jamaa shule hana matumizi yake ya hela ni kufuru sana lakini kila uchwao anazidi kutajirika. Ni mjanja sana.
View attachment 798056 View attachment 798057 View attachment 798059 View attachment 798060

Mods msiunganishe huu uzi

CC; Kiranga
Nyani Ngabu
Ila bado ni limbukeni
 
Ila bado ni limbukeni

Ha ha nilikuwa nnandika dongo moja hatari nikasema kabla sijatuma busara itumike niangalie ninamjibu nani...kumbe mchawi mkuu Mshana Jr, ndugu mshana naona unaamka kuelekea kwenye shughuli zako, hamna definition ya ulimbukeni jamaa anaishi maisha yake na inawezekana akiona comment yako wewe bdio ukawa limbukeni
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ningelipokea kwa moyo wa shukrani kwakuwa mwisho wa siku ni maisha yake
 
Back
Top Bottom