Forbes: Mabilionea 25 matajiri zaidi Afrika 2017

Kumbe Daktari mengi hayumo?
Naona theluthi moja ni wa-misri
 
Dr Louis hayupo hii list fake
 
Sio kweli mkuu kawaacha mbali sana bakhresa anachezea USD mil 500 manji kapuku kabisa yuko chini sana Mengi USD mil 530 rostam aziz USD mil 900
Nasikia kipindi Manji kakamatwa walichunguza account zake na moja wapo ya muamala walioukuta ni kuingiziziwa $500million kwenye moja ya account zake.... hiyo tu inanifanya niamini hakuna anayamfikia.
Ana visima vya mafuta huko mashariki ya kati... kawekeza hadi India na U.S.A... sema ni msiri sana.
Hata aliponunua kampuni ya Tigo hakuna alojua ikaja kufichuka kipindi hicho anaandamwa
 
Hajainunua Tigo, ana share Tigo Pesa only, usitulishe matango
 
utakuwa unahesabu malori barabarani

Mkuu unajua Dewji ni mjanja mjanja sana,anaweza kwenda kuhonga huko ili aonekane yeye ndo Tajiri no moja Tanzania wakati sio... Mnyama kama Rostam Aziz unaweza mweka chungu kimoja na Dewji??? Forbes kwa miaka ya hivi karibuni imekua ya hovyo hovyo kabisa,unaweza shangaa eti Jokate Mwigelo naye ni moja ya watu maarufu vijana Africa, Mambo ya ajabu kabisa haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…