antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Kumbe Daktari mengi hayumo?
Naona theluthi moja ni wa-misri
Naona theluthi moja ni wa-misri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaongelea dewj baba au dewj mtoto Yule wa Simba?Mi naamini Manji & Bakhresa wanamzidi Dewji
Yule wa SimbaUnaongelea dewj baba au dewj mtoto Yule wa Simba?
Yule wa Simba sio anayeongelewa uwa wako wawili baba na mtoto mwenyewe nilijuaga ndo uyo kumbe noooYule wa Simba
Ndo yeye bhana... ndo maana akawa Tajiri kijana Afrika.... baba hawez kuwa kijana tenaYule wa Simba sio anayeongelewa uwa wako wawili baba na mtoto mwenyewe nilijuaga ndo uyo kumbe nooo
Nakuletea dataNdo yeye bhana... ndo maana akawa Tajiri kijana Afrika.... baba hawez kuwa kijana tena
Dr Louis hayupo hii list fake![]()
Mfanyabiashara kutoka Nigeria Aliko Dangote bado ndiye mtu tajiri zaidi barani Afrika kwa mujibu wa orodha ya mabilionea mwaka 2017 iliyoandaliwa na jarida la Forbes.
Utajiri wa Dangote unakadiriwa kuwa jumla ya $12.2 bilioni.
Kuna mabilionea (wa Dola) 25 mwaka huu barani Afrika, mmoja juu ya 24 waliokuwepo mwaka jana.
Wafanyabiasha kutoka Nigeria Femi Otedola na Abdulsamad Rabiu hawakufanikiwa kuingia kwenye orodha hiyo mwaka huu.
Mtanzania Mohammed Dewji bado ndiye bilionea wa umri mdogo zaidi Afrika, utajiri wake ukikadiriwa kuwa $1.09 bilioni.
Utajiri wa Trump washuka, Bill Gates aongoza
Watu wanane matajiri kupindukia duniani
Mtanzania afungua mgahawa Sweden
Dangote kuinunua Arsenal katika kipindi cha miaka 4
Isabel dos Santos kutoka Angola na mfanyabiashara wa mafuta Folorunsho Alakija kutoka Nigeria ndiye mabilionea wanawake pekee katika orodha hiyo mwaka huu.
Bw Dangote Dangote, ndiye mwanzilishi na mwenyekiti wa kampuni ya Dangote Cement inayoongoza kwa kuzalisha saruji Afrika. Anamiliki asilimia 90 ya hisa za kampuni hiyo.
Dangote Cement huzalisha tani 44 milioni za saruji kila mwaka na imepanga kuongeza uzalishaji kwa asilimia 33 kufikia 2020.
Dangote pia anamiliki hisa katika kampuni za chumvi, sukari na unga.
Mohammed Dewji ni afisa mkuu mtendaji wa kampuni ya METL iliyoanzishwa na babake miaka ya 1970.
Kampuni hiyo huhusika katika biashara ya nguo, unga, vinywaji na mafuta.
Kampuni hiyo huendesha shughuli zake katika zaidi ya mataifa sita barani Afrika.
Mabilionea 25 wa Afrika mwaka 2017:
1. Aliko Dangote, Nigeria
Utajiri: $12.2 bilioni
2. Nicky Oppenheimer, Afrika Kusini
Utajiri: $7 bilioni
3. Mike Adenuga, Nigeria
Utajiri: $6.1 bilioni
4. Johann Rupert, Afrika Kusini
Utajiri: $6.3 bilioni
5. Nassef Sawiris, Misri
Utajiri: $6.2 bilioni
6. Christoffel Wiese, Afrika Kusini
Utajiri: $5.9 bilioni
7. Nathan Kirsch, Swaziland
Utajiri: $3.9 bilioni
8. Naguib Sawiris, Misri
Utajiri: $3.8 bilioni
9. Isabel dos Santos, Angola
Utajiri: $3.1 bilioni
10. Issad Rebrab, Algeria
Utajiri: $3 bilioni
11. Mohamed Mansour, Misri
Utajiri: $2.7 bilioni
12. Koos Bekker, Afrika Kusini
Utajiri: $2.1 bilioni
13. Allan Gray, Afrika Kusini
Utajiri: $1.99 bilioni
14. Othman Benjelloun, Morocco
Utajiri: $1.9 bilioni
15. Mohamed Al Fayed, Misri
Utajiri: $1.82 bilioni
16. Patrice Motsepe, Afrika Kusini
Utajiri: $1.81 bilioni
17. Yasseen Mansour, Misri
Utajiri: $1.76 bilioni
18. Folorunsho Alakija, Nigeria
Utajiri: $1.61 bilioni
19. Aziz Akhannouch, Morocco
Utajiri: $1.58 bilioni
20. Mohammed Dewji, Tanzania
Utajiri: $1.4 bilioni
21. Stephen Saad, Afrika Kusini
Utajiri: $1.21 bilioni
22. Youssef Mansour, Misri
Utajiri: $1.15 bilioni
23. Onsi Sawiris, Misri
Utajiri: $1.14 bilioni
24. Anas Sefrioui, Misri
Utajiri: $1.06 bilioni
25. Jannie Mouton, Afrika Kusini
Utajiri: $1 bilioni
SOURCE, BBC: POSTED 21 Machi 2017
Sio kweli mkuu kawaacha mbali sana bakhresa anachezea USD mil 500 manji kapuku kabisa yuko chini sana Mengi USD mil 530 rostam aziz USD mil 900Mi naamini Manji & Bakhresa wanamzidi Dewji
Mi naamini Manji & Bakhresa wanamzidi Dewji
HahahahahaHata mimi naamini Dr Shika anawazidi hao wote
Mkuu mo dewji habari nyingineWanatumia vigezo gani mbona BAKHRESA anamzidi DEWJI lakn kwenye 25 bora hayumo.
Aisee wewe upo miss u sanaKenya hakuna hata mmoja[emoji50]
Wrong very wrongUko sahihi
Sio kweli mkuu angalia orodha ya matajiri ishirini tanzania utaonaNaamini Rostam and Bakharesa wanamzidi Mo Dewji kwa mbali sana tu.. Sema hawatoi ushirikiano kwa Forbes..
Hahahahhaah!
!
Listi feki hii..... Wapi Dr Skika
Bakharesa,ni maarufu tu ila hela yake ya kawaida tu.mo pesa anayo kitambo tu.Wanatumia vigezo gani mbona BAKHRESA anamzidi DEWJI lakn kwenye 25 bora hayumo.
Sawa BashiteWrong very wrong
Sawa DABSawa Bashite
Nasikia kipindi Manji kakamatwa walichunguza account zake na moja wapo ya muamala walioukuta ni kuingiziziwa $500million kwenye moja ya account zake.... hiyo tu inanifanya niamini hakuna anayamfikia.Sio kweli mkuu kawaacha mbali sana bakhresa anachezea USD mil 500 manji kapuku kabisa yuko chini sana Mengi USD mil 530 rostam aziz USD mil 900
Hajainunua Tigo, ana share Tigo Pesa only, usitulishe matangoNasikia kipindi Manji kakamatwa walichunguza account zake na moja wapo ya muamala walioukuta ni kuingiziziwa $500million kwenye moja ya account zake.... hiyo tu inanifanya niamini hakuna anayamfikia.
Ana visima vya mafuta huko mashariki ya kati... kawekeza hadi India na U.S.A... sema ni msiri sana.
Hata aliponunua kampuni ya Tigo hakuna alojua ikaja kufichuka kipindi hicho anaandamwa
utakuwa unahesabu malori barabarani