Hisa zaidi ya asilimia 90 bado unasema si yake?Hajainunua Tigo, ana share Tigo Pesa only, usitulishe matango
Unaamini wakati takwimu hazisemi vile? We una list yako? Jinga sanaMi naamini Manji & Bakhresa wanamzidi Dewji
Mm nadhani mpaka mhusika upeleke details zako ukitaka ufahamike utajiri wakoWanatumia vigezo gani mbona BAKHRESA anamzidi DEWJI lakn kwenye 25 bora hayumo.
Hahaa... haina noma!Unaamini wakati takwimu hazisemi vile? We una list yako? Jinga sana
Jamaaa wana vyanjo vingi za kupata taarifa hawakurupuki kabisaMm nadhani mpaka mhusika upeleke details zako ukitaka ufahamike utajiri wako
Sasa huyu MO yeye mzee wa kuuza sura
Kapeleka taarifa ndo maana tumemuona kwenye orodha
Maana utajiri wa MTU huwezi kuujua hivi hivi bila mhusika kukwambia ana pesa kiasi gani