Forbes: Mabilionea 25 matajiri zaidi Afrika 2017

Forbes: Mabilionea 25 matajiri zaidi Afrika 2017

Dk. Loius Shika namna gani hapa? Au kuanzia nafasi ya 30.
 
Wanatumia vigezo gani mbona BAKHRESA anamzidi DEWJI lakn kwenye 25 bora hayumo.
Mm nadhani mpaka mhusika upeleke details zako ukitaka ufahamike utajiri wako
Sasa huyu MO yeye mzee wa kuuza sura
Kapeleka taarifa ndo maana tumemuona kwenye orodha
Maana utajiri wa MTU huwezi kuujua hivi hivi bila mhusika kukwambia ana pesa kiasi gani
 
Jamaaa wana vyanjo vingi za kupata taarifa hawakurupuki kabisa
Iliwachukua muda sana kujua utajiri halisi wa Isabella dos Santos kutokana na hali ya kisiasa Angola lakini walidig out na kuja data kamili
Mo dewji ana haki ya kuwa billinonea anaanzia shambani kulima Na kununua mazao anasafirisha mpka kwenye viwanda vyake
Nitakutolea mifano miwili tu
1.analima pamba ,anasafirisha kwa gari zake ,anapeleka kwenye viwanda vyake vya nguo ulaya kwa meli zake
2.Mjanja sana kwenye biashara ana shamba kubwa sana la miwa Brazil lakini kaweka kiwanda cha sukari Malaysia kwa ajili ya cheap labor
 
huyu dogo ana akili sana na anatengeneza pesa nyingi nashangaa wanaomfananisha na bahlesa
huwezi ukahonga pesa fobes wanazani inaweza ikawa twaweza
 
Back
Top Bottom