Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina mana lil wayne na kina rick ross bado hawajaingia kwenye top?
Cash money kumbe kelele tu hamna lolote
Iweke mazuri basi hiyo title yako coz kwa uwelewa wangu mdogo wasanii wanaongoza kwa kulipwa mbumba nyingi ni wacheza filamu .wapi![]()
Jana jarida la Forbes limetoa orodha ya wasanii 25 duniani wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani. Hawa ndio walioingia kwenye orodha hiyo.
1. Dr Dre ($110million)
2. Roger Waters ($88 million)
3. 3. Elton John ($80 million)
4. U2 ($78 million)
5. Take That ($69 million)
6. Bon Jovi ($60 million)
7. Britney Spears ($58 million)
8. Paul McCartney ($57 million, tie)
9. Taylor Swift ($57 million, tie)
10. Justin Bieber ($55 million, tie)
11. Toby Keith ($55 million, tie)
12. Rihanna ($53 million)
13. Lady Gaga ($52 million)
14. Foo Fighters ($47 million)
15. Diddy ($45 million, tie)
16. Katy Perry ($45 million, tie)
17. Kenny Chesney ($44 million)
18. Beyoncé ($40 million)
19. Red Hot Chili Peppers ($39 million)
20. Jay-Z ($38 million)
21. Coldplay ($37 million)
22. Adele ($35 million, tie)
23. Kanye West ($35 million, tie)
24. Michael Bublé ($34 million)
25. Sade ($33 million)
Iweke mazuri basi hiyo title yako coz kwa uwelewa wangu mdogo wasanii wanaongoza kwa kulipwa mbumba nyingi ni wacheza filamu .wapi
Tom C. hapo ama yeye sio msanii !
hyo list ni ya wasanii wanaoingiza mpunga mrefu kwa huu mwaka na siyo wanaolipwa wala wanaoongoza.