beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Kwa mujibu jarida la Kibiashara la Marekani la Forbes, Rihanna amekuwa Mwanamuziki wa Kike tajiri duniani akiwa na utajiri wa Dola za Kimarekani Milioni 600(Tsh. 1,378,560,000,000)
Nafasi ya pili yupo Mwanamuziki Mkongwe, Madonna mwenye utajiri wa USD Milioni 570(Tsh. 1,309,632,000,000) na nafasi ya tatu inashikiwa na Mkongwe mwingine, Céline Dion mwenye utajiri wa USD Milioni 450(Tsh. 1,033,920,000,000) huku nafasi ya nne akiwepo Beyoncé na utajiri wa USD Milioni 400(Tsh. 919,040,000,000)
Utajiri mkubwa wa Rihanna unaripotiwa kutokana na kuingia ubia na Kampuni ya 'French luxury goods behemoth-LVMH' inayoendeshwa na Bilionea, Bernard Arnault ambapo kwa pamoja wanamiliki Kampuni ya ‘Fenty Beauty' inayojishughulisha na kutengeneza vipodozi
Fenty Beauty ilizinduliwa mnamo Septemba 2017 na katika uuzaji wake wa vipodozi kwa wiki ya kwanza ilifanikiwa kuingiza jumla ya USD Milioni 100(Tsh. 229,760,000,000). Mwaka 2018 Fenty Beauty iliingiza jumla ya USD Milioni 570(Tsh. 1,309,632,000,000)
Forbes imeeleza kuwa utajiri mwingine wa Mwanamuziki huyo unatokana na umiliki wake wa pamoja na Kampuni ya nguo ya 'TechStyle Fashion Group' katika nguo za ndani za 'Savage X Fenty' lakini pia fedha nyingine zinatokana na kuachia nyimbo zake na kufanya matamasha ya muziki
=====
Rihanna has reportedly become the world’s wealthiest female musician, according to Forbes.
The outlet has shared that her fortune adds up to $600 million, ahead of Madonna ($570 million), Céline Dion ($450 million) and Beyoncé ($400 million).
A bulk of Rihanna’s wealth reportedly comes from her partnership with the French luxury goods behemoth LVMH, which is run by billionaire Bernard Arnault. Rihanna and LVMH co-own Fenty Beauty, which launched in September 2017 and became an overnight success. Setting itself apart by releasing 40 shades of foundation, Fenty Beauty grossed a reported $100 million in sales within its first few weeks.
Fenty Beauty made an estimated $570 million in revenue in 2018, with the entire company's worth approximated at $3 billion, according to Forbes. The outlet also reports that it estimates LVMH owns 50% of Fenty Beauty, while Rihanna owns 15%.
Forbes reports that the rest of the singer’s fortune comes from the Savage X Fenty lingerie line she co-owns with Los Angeles-based fashion firm TechStyle Fashion Group, and the millions she’s earned from touring and releasing music.
In May, she announced another partnership with LVMH: the new luxury clothing house Fenty. The first Fenty pieces dropped the same month, with sizes ranging up to U.S. 14, following the same inclusive model as Fenty Beauty. Fenty is LVMH’s first new house in over 30 years and is under the same umbrella as brands like Dior and Givenchy.