Forbes: Rihanna ndio mwanamuziki wa Kike tajiri duniani kwa sasa, amuacha mbali Beyonce

Forbes: Rihanna ndio mwanamuziki wa Kike tajiri duniani kwa sasa, amuacha mbali Beyonce

wakati huo wadada wa bongo wanaingia kwenye sanaa ili wadangwe vizuri

#wabongo alieturoga Mungu anamuona kwa kweli.
 
Inapendeza...

Hata sisi haoa wauza vipodozi tunao wengi sana ila mbona hatuoni wakitajwa kua mabiliionea kama hao wenzetu... tatizo lipo wapi?

Huko hata mtu akianzisha juice ya miwa utasikia week ya kwanza kauza mabilioni ya fedha...

Huku utasikia baada ya siku mbili kibanda kimefungwa...


Cc: mahondaw
 
Hili ni somo kubwa sana.. elewa namna utajiri unavotengenezwa.. jibu ni moja tu kumiliki makampuni.. Hapo utajiri wake unaotokana moja kwa moja na mziki ni chini ya 25%.. Makampuni baba.. vijana tuweke ideas zetu kwenya makampuni
 
Back
Top Bottom