FORBES: The Young African Millionaire Lighting Up Tanzania

Hii story ni darasa tosha, nimejifunza kuwa maisha ni kufanya juhudi na kutumia opportunities zinazopatikana. Pia ukiwa na pesa zinazopatikana kwa uhalali, hutaona aibu hata kusema namna ulivyozipata ili na wengine wajifunze. Ukiwa na pesa za unga, daaa! kigugumizi hata kuueleza umma maana si halali.
 
Nimejifunza kitu kimoja kikubwa hapa.

Huyu dogo alianza na sh 50,000. Wengi wetu tunataka tupate kama milioni 40 ndio tufikirie business kumbe the best tools are the ones that we have now, today.
 
Mbona wako wengi,alikuwepo maruhumu Mawalla yule kijana wakili wa Arusha,tuna akina Ritz 1 ,tuna akina Kinje bana,akina Mh Nyalandu

Aise mkuu huyu Ngowi tunayesema ambao Forbes wanazungumzia ni lazima asiwe fisadi!!! Utajiri wake ni wa halali sana. Hawa uliowataja hapa naomba niweke maji mdomoni ili nisipayuke kwa hii key board! Go Go comrade Ngowi. Wakilisha na tujifunze kuwa utajiri unaweza pia kuupata kwa njia halali kama unajipanga vema si kwa kifisadi kama wengine. Keep it up Ngowi. Mkumbuke muumba wako na mtukuze sana.
 
Bongo akili kumkichwa kwq ngowi much respect umeonyesha njia wengi wavivu anataka awekeze leo kesho aendeshe vogue wapi bana ulisikia hii Mfano hao huo kwa mtz chalii ya a town
 

unaimbia bendi gani ya taarabu? Unafaa sana.
 
Hao niliwataja kwa makusudi ,nilitaka tu kuonyesha jamii upande wa pili wa shilingi,wote nilio wataja wana sifa moja ,utajiri wao ni wa kuwaibia wananchi kupitia migongo ya nafasi za wazazi wao na fedha chafu za sembe
 
kuna kijana mmoja mwingine naye kafanikiwa sana na tulipata bahati ya kukutana nae dar es salam, wakati anatutia moyo alisema yeye alianza na laki tano alizokopa kwa ndugu mwaka 1999,nikamuuliza..je,kwa mimi amabaye siwez hata ku-raise kutoka kwa ndugu hata 50,000/= nitaanzia wapi?hapo ndo tulishindwa kuelewana..chunguza tena na huyu alikopa kwa mama...kati ya sababu kuu za umasikini afriza ni kukosa capital...mengine yanafuata kama lack of committmnt kwa wale wanaopata bahati ya kufanya saving...lakini amini nisemayo...wengi waliopo mtaani hata nauli zinasumbua..ndo maana wakipata kiajira wanajisahau...kama kila mtu angekuwa na akili kama ya huyu ngowi...Tanzania imekuwa super power within 20 years
hongera mkuu
 
Ni hadithi ya kutia moyo kwa kweli...kama kijana mdogo na mjasiliamali imenisaidia sana....nahisi sito kata tamaa hata iweje kuelekea pale ninpotaka kufika....may God lead me
 
Hao niliwataja kwa makusudi ,nilitaka tu kuonyesha jamii upande wa pili wa shilingi,wote nilio wataja wana sifa moja ,utajiri wao ni wa kuwaibia wananchi kupitia migongo ya nafasi za wazazi wao na fedha chafu za sembe
Nilijua tu mkuu pale kuwataja tu ulirusha karata ili watu warushe mawe. Hawafai hata kidogo, imagine juzi kati nilipita maeneo Fulani kuna mgororo wa shamba la kampuni moja ya kifisadi ilitokea Kenya inaitwa KAPA (sina hakika kama correct name ila ndiyo wanakijijji wanasema hivyo). KAPA ilifilisika ila ilikuwa na ardhi mikoa mbalimbali ikiwemo Mbeya na Pwani. Leo hiii nasikia eti yule short ndiye ana documents halali za umiliki!!!!!! Kesi inanguruma ina sasa wananchi itakula kwao!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…