kuna kijana mmoja mwingine naye kafanikiwa sana na tulipata bahati ya kukutana nae dar es salam, wakati anatutia moyo alisema yeye alianza na laki tano alizokopa kwa ndugu mwaka 1999,nikamuuliza..je,kwa mimi amabaye siwez hata ku-raise kutoka kwa ndugu hata 50,000/= nitaanzia wapi?hapo ndo tulishindwa kuelewana..chunguza tena na huyu alikopa kwa mama...kati ya sababu kuu za umasikini afriza ni kukosa capital...mengine yanafuata kama lack of committmnt kwa wale wanaopata bahati ya kufanya saving...lakini amini nisemayo...wengi waliopo mtaani hata nauli zinasumbua..ndo maana wakipata kiajira wanajisahau...kama kila mtu angekuwa na akili kama ya huyu ngowi...Tanzania imekuwa super power within 20 years
hongera mkuu