The master
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 289
- 195
Habari zenu wadau wa JF. Kwanza kabisa nawatakia amani ya Mungu iwe juu yenu.
Leo nimekuja na swali baada ya kukuta hii kitu kwenye mitandao forbiden knowledge. Nimejiuliza hii ni elimu ya namna gani na ni kwann iitwe forbiden why ?
Ktk pitapita zangu niliwahi kukutana na mjeshi mmoja mstaafu wa maswala ya anga. Ukweli ni kwamba alinisimulia mambo ya ajabu sana tena sana juu ya ulimwengu huu.
Alichokisema kimojawapo ni kuchakachuliwa kwa historia ya dunia jambo ambalo limewafanya binadamu wasiyaelewe mazingira ya duniani na jinsi ya kuyatawala na hivyo kujenga tabia ya kuwa tegemezi kwa kila jambo kwa MUNGU.
Mungu ametuumba na akatupa uwezo wa kuyamudu mazingira yetu ikiwa ni pamoja na kuyatawala. Sisi tumejinyima uwezo huo na kuambiana ktk kila jamb tumtegemee yeye MUNGU.
Wachache kati yetu waliogundua siri hii ya elimu wakaificha na ndio hao wanaoandaa mpango wa kutawala dunia. Mwanajeshi huyo alinipa kitabu kidog kilichoandikwa FORBIDEN KNOWLEDGE OF SECRET SOCIETY.
Nawaomba great thinkers tujadili hil